UN sec General Using a Kenyan Made Computer

Sema tu you dont like the kenyan laptop.. lakini usiseme ati africa hatuwezi jiendeleza cos ya developed countries zina bidhaa better quality.. sasa unalinganisha na Samsung..unathani Samsung walianza aje ...it starts with a dream and then a dare to challenge the world ..resilience and hope

Labda tusipende kushabikia tu..
Tujifikirishe..

What so special about the "kenyans laptop" ambapo INA kitu zile za wamarekani, wachina, Koreans, etc hazina?.

Je INA solve kitu gani ambacho zile za mataifa yalioendelea hawajamudu?

Ukijibu utakua umenielewa muelekeo wangu...

Je ni CPU speed kubwa?
HDD kubwa?
Game nzuri,
ni pc rafiki kwa watoto wa nursery ama inarusha rocket ama?...

Kama kilakitu ni kopi and paste. Why heck?

Kitu wengi hamjajua. Duniani wako watu wengi sana especially indiviuals waliowahi kufanikiwa kubuni vitu vinavyofanana na vilivyopo kupitia limited resources walizonazo.
Iwe magari, ndege, drones, phones, tractor, cranes, planter, nk. Tena wengine wakiwa na elimu ya msingi tu.
It ends there..
 
Baadala ya kubishana sana naombeni mnisaidia picha zake na if possible architecture schematics ili sisi wengine tujifunze
 
nyinyi si mfanye lolote karibu na hili, kukashif tu, lini mtakuwa na kitu hata kama nini vile mnasema kiwe na uhusiano na nchi yenu?? Tuna copy, ni sawa, nyinyi ipi mmejaribu kuiga??

Remember China grew by copying and now it produces its on.

So let us copy, before nyinyi muanze kukopi, we will be producing.

Do not worry, sisi tunacopi muamerica nyinyi mtatukopi!!
Over my dead body tz imucopy mkenya that will never happen
 
Back
Top Bottom