Umuhimu wa kufunga CCTV camera nyumbani, ofisini

Ebu uone jamaa asivyo na aibu vitae sh 1.1m ufundi 2 m . Hapo wakuu kumbukeni mbayuwayu wa msoga alisema neno
ndo maana mnaambiwaga mfanye analysis ya data kabla ya kukurupuka kujibu wewe uoni kama hyo 2m kuna vifaa vya kutosha humo??? acha kukurupuka kwenye kazi usizozijua kama umesomea education fundisha, kama ni lawyer baki hukohuko ... wacha wenye field yao ndo wafanye critism
 
Mada nzuri... ila muhusika anajitahidi KUBANA taarifa muhimu.

MFANO:

1. Nina nyumba yenye ukubwa wa 20 × 20 metres
2. Ninahitaji kufunga kamera nne
3. Nahitaji kutumia teknolojia ya "wireless" ili niweze kufuatilia kwa simu yangu ya mkononi yaendeleayo nyumbani.

Nipo Dar es salaam Manzese

JE MAKADIRIO YAPOJE?????
 
approximation ni kama ifuatavyo kama kila kitu kitatoka kwangu.
1. 4 cctv cameras .......500,000- 800,000
2. cat 6 cable ..............120,000
3. NVR.......…...…...........250,000
4. IP switch .................200,000
5. Monitor ...................150,000
6. UPS...….....................200,000
7.PSU...........................80,000
9. miscellaneous.......150,000
10. Cost of installation ...600,000
TOTAL..............2,670,000
Kwa ufupi ndio hivyo wakuu
 
Mkuu Natron ni kweli suti samora sh 300,000 ila kariakoo suti Ile Ile sh 120,000 kwa hivyo acha watu wafanye comparison na tuache visingizio vya kazi ngumu.
 
ata hizo vifaa ukiamua kuvinunua unaweza usifike ata 1,000,000 pia vilevile unaweza ukatumia zaid ya 4,000,000 kununua vifaa tu. Hali yetu ya uchumi ndo inasababisha tuchague tununue zipi!!
 
Wakuu wenye akili zenu mtajua thread hii ilivyokaa kaa. All the best ila tu mjue mie sio fundi. Ila ni mmoja wa watu wasiopenda ubabaishaji period
 
Hata smartphone yako inaweza kuwa cctv kama ukii set na kuitega vizuri.
 
ndo maana mnaambiwaga mfanye analysis ya data kabla ya kukurupuka kujibu wewe uoni kama hyo 2m kuna vifaa vya kutosha humo??? acha kukurupuka kwenye kazi usizozijua kama umesomea education fundisha, kama ni lawyer baki hukohuko ... wacha wenye field yao ndo wafanye critism
Aliyekurupuka ni nani kati ya mimi na wewe ? Vitu vingine vyote umetaja kimoja kimoja afu ml. 2 ukaweka kwa mafungu sie walimu tukueleweje? Why hesabu zako ujanja ujanja tu . Na angalia uzi wote umekutaja wewe kuwa mkurupukaji .act your age
 
Hellow guys, hii ni 2022....kuna mabadiliko makubwa sana ktk hii teknolojia ya cameras....we mwana JF umechagua aina ipi ya camera kulinda nyumba au biashara yako?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom