Umoja wa Ulaya wapongeza utumbuaji wa Rais Magufuli

Uingereza kufanya nini? Raisi saws na baba mwenye nyumba lazima kuwa na msimamo binafsi siyo kufuata upepo kama bendera,uingeraza in nchi sawa na Tanzania au gharama za usafiri wanamlipia au ni kodi za wananchi?
 
hiyo ni nzuri na nimeipenda, ila sasa mbona kasemea kwa mkuu wa mkoa as if ni suala la Mwanza! nilivyosoma heading nilianza kutabasamu nikajua eeheee safari ya waziri mkuu Majaliwa imezaa matunda. sasa huyo wakuongelea hapa Mwanza tena mkuu wa mkoa, kidogo nakuwa TOMASO but naomba iwe kweli na Mungu alisimamie hilo suala lifanyike kama walivyoahidi
 
Back
Top Bottom