Umoja wa Ulaya (EU) wasikitishwa na Vifo. Waitaka Tanzania kuheshimu Demokrasia na Utawala wa sheria

Hao EU na UN sijui mabalozi hawatatusaidia, tujisaidie wenyewe. Mbona Syria wanajaribu?! Mbona Tunisia waliweza?! Na mbona Egypt na Libya waliweza?!
Tusiwasubiri UN na EU tupambane na hawa maharamia sisi wenyewe.
Mkuu huna ubavu huo!! Tulia dawa ikuingie ili upone ugonjwa wa mapovu!!
 
19149238_1495971977119550_6064693837857265507_n.jpg
 
Na sisi tudhibiti ya kwetu... Hivi bajeti yetu inawategemea kwa % ngapi!? Au unajifanya kujisahaulisha...ukute sasa hivi unatumia umeme ulioletwa hapo mtaani kwako kwa msaada wa ulaya...!!
Hivi interchange ya Ubungo imefikia wapi? Nasikia tetesi kuwa wakubwa wamebana. Ama kweli ukiwa maskini lazima utumie na za ziada, waswahili walisema baniani mbaya lakini kiatu chake dawa. Hivyo hivyo hawa wakubwa ni wabaya lakini pochi yao ni dawa
 
Hao Umoja wa Ulaya wawaambie kwanza CHADEMA waheshimu sheria za nchi na waendeshe siasa zao kwa adabu.
 
Nilitegemea African Union (AU) na East African Community (EAC) wawe wa kwanza kulaani kabla ya Umoja wa Mataifa (UN).

Naanza kuamini kuwa hizi jumuiya hasa za watu weusi zipo kwa ajili ya kulinda maslahi ya wakuu wa nchi pekee hazina msaada wala faida yeyote kwa wananchi wa chini.
 
So what? Waanze kwanza kudhibiti matukio yao ya mauaji yanayotokea kila Siku huko Ulaya
Mmeshaua sana watu mpaka ubinadamu na utu umewapotea kabisa ?

- Ningekuwa mimi EU wala hata nisingetoa hata mia ya MSAADA maana itaishia kununua silaha ya kuulia watu wasio na hatia, kuhonga wabunge wajiuzulu halafu kugharamikia mauchaguzi ya marudio kwa ujambazi tu
 
  • Wazungu tutoseni..TISS,Wanajeshi,Police, watumishi Wa umma wakose mishahara..na sisi raia tunaacha kuspend pachimbike
 
Kwakweli Tuombe tu Mungu Awape Viongozi wetu Hekima na Busara.Tuheshimiane,Tupendane na Tusibaguane kama ilivyokua Zamani.Hii ya Kutegemea sijui kina nani Wakemee haisaidii sana kwani Wa huku wakishupaza Shingo,Yanayoendelea Hayatakoma.Na hili Tulitupie kwa Viongozi wetu wa Dini,Wanaweza kukutanisha Pande zote zenye Uhasama na Kuleta Maelewano.Kwa Yanayoendelea sitaki kunyoosha kidole Lakini Ukweli kwa sasa kuna Maelewano Mabaya kati ya Upinzani na Watawala
 
Sometimes Mimi kama kijana wa Kitanzania nakaa nawaza na kujiuliza ni nini hasa kimeikumba Nchi yetu..!!

Tangu serikali ya awamu ya 5 iingie madarakani Nchi yetu imeyumba na mambo kwenda shaghalabagala.

Serikali hii chini ya Magufuli John Pombe Joseph Nchi na wananchi tunapitia wakati mgumu hasa kundi letu kubwa la vijana

Utawala wa awamu ya 5 umevuruga kila kitu chenye ustawi kwa taifa na kuleta mambo ambayo hatukuyazoea:-

Watu kutekwa

Watu kupotea kabisa kwenye nyuso za watu/ndugu zao

Watu kupigwa risasi


Watu kuuliwa kikatili kama alivyouliwa diwani wa Chadema kata ya Namwawala Godfrey Luena kapigwa mapanga kama ng'ombe ,Dogo binti Aquelina kapigwa risasi ya kichwa

Maiti zinaokotwa ufukweni na kwenye mito


Kiukweli awamu hii inatenda maovu mengi sana dhidi ya wananchi wake hasa sisi Vijana


Ni wajinga na wapumbavu pekee wanaokubaliana na CCM na serikali yake

Wamezuia ajira nyingi za vijana

Huduma za jamii bado mbovu

Hakuna Uhuru wa kutoa maoni wala kukusanyika,Police wanatumika kutimiza haya

Nchi imekua na sheria nyingi za kipumbavu ila

Nyie watawala na hao wote mnaowatuma kufanya maovu mjue ni wapitaji tu hakuna atakayebaki katika dunia hii wote nyie ni chakula cha funza na udongo tusitendeane mabaya hizi tawala za kidunia zisiwape kiburi Magufuli na CCM yako msilazimishe kutawala TZ msituletee masuala ya Rwanda na Burundi kama umechoka achia Nchi rudi kijijini kwenu Chato,we need Revolution kumtoa adui CCM na Magufuli wake wanatuharibia Nchi kwa zaidi ya miaka 50 sasa
 
Back
Top Bottom