Kule Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 3,157
- 1,893
Kwangu mimi huwa napinga utendaji kazi kwa baadhi ya viongozi ila katika viongozi wanaojitahidi kufanya katika awamu hii mpya ni:-
1) Ummy Mwalimu
2) Willium Lukuvi
3) Mwigulu Nchemba
Tusiwe wa kulalamiiika kila kitu.
1) Ummy Mwalimu
2) Willium Lukuvi
3) Mwigulu Nchemba
Tusiwe wa kulalamiiika kila kitu.