Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
- Thread starter
- #21
Ndio Maana Kamanda Lisu aliwambia wamezoea vya kunyonga sasa vya kuchinja hawaweziUkila haramu sana Mwenyezi Mungu hawezi kukuonyesha haramu zaidi. Ccm walisha kula haramu si rais wala nani maana wote ni ccm.Mpaka waikimbie dhambi ndo wanajua haramu ni ipi na halali ni ipi. Lakini wakiwa ndani ya ccm ni ndoto kujitoofautisha na tabia yao yakupenda haram.Magu kataa hiyo haramu