Dr Count Capone
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,878
- 3,263
- Thread starter
- #201
Naam mkuuKawaida katika maisha kanipa block fb tuu tsap ipo open ila sihitaji kumtafuta kwa dalili aliyo nionyesha na msimamo wangu ktk maisha sihitaji na haitakuja kutokea nipelekeshwe na mwanamke hawa wameumbwa watusikilize tuwasikilize lkn sio watupelekeshe asee!!
Huo ndio msimamo wa kiume