Umesikia Marehemu aliyekufa miaka 10 Akidaiwa Kodi

Jamani watanzania mnashindwa kuelewa... ata vitabu vya dini vinasema itafute elimu ata uchina... mbona sisi tunaodadisi mambo tuyafahamu hayo... nduugu hauwezi kufunga biashara bila kutoa taarifa sababu ata wakwepakodi nao wanafanya hvyohvyo kanakwamba business has closed kumbe wanakwepa... ndo maana zikawekwa ofisi na taratibu nenda TRA toa taarifa... vingnevyo ww tax evader... watanzania tuache mchezo mchezo tunapaswa kufanya kazi tulipe kodi ndipo tuilaumu serikari... sasa hauoni ata aibu kidogo eti nadaiwa kodi... mimi ninauchungu sana nimeona nchi za watu wanavyolipa kodi alafu sisi tunakwepa na pia tunailaumu serikali... Mungu anawaona...
 
Kwa hiyo unajiona mjanja sana? Unadhani binti yako hatadaiwa? Akili za kibavicha hizi
 
Hivi nyie chadema mngewezaje kuongoza nchi kwa huu ujinga kwenu?
 
Kwa hiyo unajiona mjanja sana? Unadhani binti yako hatadaiwa? Akili za kibavicha hizi
Acha kutumia makalio badala ya bongo. Nani amekuambia haitalipiwa? Hapa tunazungumzia kulipia gari ambalo lishakufa miaka mingi iliyopita...

Haya nambie akili za kibavicha na za kimakalio zipi zina akili zaidi??
 
Acha kutumia makalio badala ya bongo. Nani amekuambia haitalipiwa? Hapa tunazungumzia kulipia gari ambalo lishakufa miaka mingi iliyopita...

Haya nambie akili za kibavicha na za kimakalio zipi zina akili zaidi??
Bavicha hivi mmekuwaje?
 
Ukiuza gari wakati wa kubadilisha umiliki nadhani kuna kodi pale. Sasa kwa kutobadilisha umiliki unakuwa unakwepa kodi. Ukisukuma inabidi umiliki ubadilishwe na kodi ilipwe.
Tatizo ni kwamba tra hawajatoa elimu kwa watanzania kua chombo kama kimeharibika au kupata ajali na hakitumiki inabidi kuwafata ili wasitishe kukitoza kodi
 
Mkuu watakutafuta tu uwalipe kodi yao.

Lazima udaiwe na ni lazima ulipe maana gari linapo kufa ni sharti utoe taarifa ili liondolewe kwenye utaratibu pasi na hapo Lipa bila shuruti. Kosa ni lako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…