Jamani watanzania mnashindwa kuelewa... ata vitabu vya dini vinasema itafute elimu ata uchina... mbona sisi tunaodadisi mambo tuyafahamu hayo... nduugu hauwezi kufunga biashara bila kutoa taarifa sababu ata wakwepakodi nao wanafanya hvyohvyo kanakwamba business has closed kumbe wanakwepa... ndo maana zikawekwa ofisi na taratibu nenda TRA toa taarifa... vingnevyo ww tax evader... watanzania tuache mchezo mchezo tunapaswa kufanya kazi tulipe kodi ndipo tuilaumu serikari... sasa hauoni ata aibu kidogo eti nadaiwa kodi... mimi ninauchungu sana nimeona nchi za watu wanavyolipa kodi alafu sisi tunakwepa na pia tunailaumu serikali... Mungu anawaona...Hii inchi ya hovyo sana....kama Ulikuwa na TIN ya biashara miaka 15 iliyo pita na biashara ilisha kufa....ukienda wanakudai kwa miaka yote hata kama ulikuwa haufanyi biashara.
Kinacho sikitisha zaidi ukienda kuomba TIN ya biashara ili upata tax Clearance kama una mtaji wa laki sita na nusu (650,000) hapo wanakutoza kodi laki tatu na sabini ma moja (371,000) . hapo ina maaana zaidi ya nusu ya mtaji wako ni kodi ya TRA bado kodi ya Manispaa