Umesevu vipi jina la mpenzi wako kwenye simu?

Dem wangu 'nimem save' kwenye simu yangu kwa jina la Nokia Tochi! Kutokana kuwa na uwezo mkubwa wa kuvumilia dhiki na taabu!
Huyu ni dem wa Iringa bt mtoto ni mvumilivu na wala hanipi stress.
Madem wa aina hii ndo wanafaa kipindi iki cha Magufuli.
 
Unaitaji ushauri? Au unatupa habari?sababu sijakuelewa lengo LA thread yako?
 
Back
Top Bottom