Hapo ni Msasani kwa Kambarage!!Mi nimewatambua wote ila kilichonishangaza glasses za whiskey kuweka maji na wafanyakazi wa Ikulu 🤣🤣🤣
Amesalia mmoja tu warioba!Kutoka kushoto ni Idris Abdulwakil, Ali Hassan Mwinyi, Julius Kambarage Nyerere, Salim Ahmed Salim, Joseph Sinde Warioba, Omary Ali Juma na Rashid Mfaume Kawawa.
Na Salim Ahmed Salim.Amesalia mmoja tu warioba!
Labda walikunywa wiskyMi nimewatambua wote ila kilichonishangaza glasses za whiskey kuweka maji na wafanyakazi wa Ikulu 🤣🤣🤣
Salim amekufa lini?Amesalia mmoja tu warioba!
Wanateta muungano? Wanataka wajitenge!Challenge kwenu wadau
Walikwenda kuomba ushauri kwa Mwalimu?Challenge kwenu wadau
Wawili!!Wangapi wako hai?