HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 933
- 1,014
Habari WAAFRIKA,
Nimechukua nafasi hii kuwaomba WAAFRIKA wale wote wenye uelewa na nafasi warejee kwenye ASILI YETU kupitia TAMADUNI i.e:dini, majina, michezo, nk kwani ni wazi wenye uelewa wote wanatambua kuwa taratibu za MAISHA yetu yalibadilishwa na uongo wa wakoloni waliokuja kutafuta mali hivyo kuwalaghai WAZEE WETU kuachana na maisha yao na kufuata taratibu za wakoloni pasipokufahamu kuwa wanategwa.
Sasa kama kuna WAAFRIKA wanajidai wamesoma sana basi waelewew SIYO WASOMI kwani wamesoma elimu za kikoloni na siyo elimu ya KIAFRIKA.
MSOMI wa kweli duniani ni yule anayesoma elimu yake kwanza na kubobea halafu ndipo anatoka nje kulinganisha na kupima elimu yake.
Huwezi kujigamba kuwa umesoma na kubobea kwenye HISTORIA YA UINGEREZA na kuiamini huku ukiitupa mkono HISTORIA YA AFRIKA yenye uhalisia wa maisha ya kizazi chako.
Mtu unadiriki kufia majina ya kizungu na kiarabu pamoja na mila na yamaduni za dini za kiislam na kizungu huku mkijigamba kwa majina ya kizungu na kiarabu i.e. John, Julius, Abdala, Aziz, nk huku mkiacha majina yenye maana nzuri tu za KIAFRIKA.
WAAFRIKA wanadiriki hata kubadili majina ya watoto, miji, mitaa, maziwa, hotel, biashara, nk majina ya kizungu na kiarabu huo ni UFARA.
WAAFRIKA ambao ni zao la WATUMWA waliouzwa ulaya i.e: "DIASPOORAs" kwasasa wanatamani kurudi kwao na katika historia yao lakini WAAFRIKA waliobaki AFRIKA hawataki kurudi kwenye ASILI yao kwa sababu ya tongotongo walizoachiwa na WAKOLONI
MWISHO ni ujinga mkubwa sana kwa kiongozi au mwanaharakati wa ALFRIKA i.e: wanasisa kujigamba kuwa atawaboreshea WAAFRIKA maisha yao wakati yeye mwenyewe ameshindwa hata kubadili JINA na DINI ili kurejea katika uasili wake na kubaki kuwa VIBARAKA WA WAKOLONI NA WEZI WAKUBWA KWANI HAWAWATHAMINI WAAFRIKA WENZAO BALI WAKOLONI.
View attachment 2828276