Mikoa niliyotembelea
Tabora
Shinyanga (Mjini mpaka Pandagichiza huko)
Simiyu (Mjini mpaka kijiji cha Gamboshi)
Mwanza
Geita
Kagera
Kigoma (Uvinza, Kasulu)
Arusha
Kilimanjaro
Manyara
Tanga
Pwani
Dsm
Mtwara
Lindi
Tz visiwani (Unguja)
Morogoro
Iringa
Mbeya
Mikoa ambayo sijafika
Ruvuma
Rukwa
Katavi
Njombe
Singida (Nimepita tu)
Kama umefika Iringa na Mbeya, most likely umepita Njombe lakini hukuwa unafahamu kwa kuwa barabara ya Tazam kuanzia kijiji kinaitwa Nyigo karibu na Makambako hadi maeneo ya karibu kidogo na Igawa, hilo eneo hapo kati ni mkoa wa Njombe...
Umenihudhi sana.Mikoa niliyo bahatika kukanyaga aridhi yake kuishi na hata kwa kupita tu ni,
1 Singida
2 Tabora
3 Kigoma
4 Dodoma
5 Manyara
6 Morogoro
7 Pwani
8 Dar
9Tanga
10 Kilimanjaro
11Arusha
Kuna mikoa ambayo mungu akinipa uhai natamani kuitembelea,
Mtwara
Mbeya
Iringa
Kagera
Mpanda
Ni hiyo tu kwa sasa.
Nimebakiza kisiwa cha mafia tu,kwingine kote nimefikaMikoa niliyo bahatika kukanyaga aridhi yake kuishi na hata kwa kupita tu ni,
1 Singida
2 Tabora
3 Kigoma
4 Dodoma
5 Manyara
6 Morogoro
7 Pwani
8 Dar
9Tanga
10 Kilimanjaro
11Arusha
Kuna mikoa ambayo mungu akinipa uhai natamani kuitembelea,
Mtwara
Mbeya
Iringa
Kagera
Mpanda
Ni hiyo tu kwa sasa.
Na zenji uliendaje??Tanzania nzima nimevuruga yote na chanzo cha kuvuruga mikoa yote ni kazi ya udereva
Yote ulioyoitaja ukitoa kigoma,Sasa mtu unaenda kigoma kutafuta nn?labda kama unatafuta misaada ya UNICEFMikoa niliyo bahatika kukanyaga aridhi yake kuishi na hata kwa kupita tu ni,
1 Singida
2 Tabora
3 Kigoma
4 Dodoma
5 Manyara
6 Morogoro
7 Pwani
8 Dar
9Tanga
10 Kilimanjaro
11Arusha
Kuna mikoa ambayo mungu akinipa uhai natamani kuitembelea,
Mtwara
Mbeya
Iringa
Kagera
Mpanda
Ni hiyo tu kwa sasa.