Umeanza na kitabu gani 2016?

Hicho kitabu kipo kwenye Bible mkuu, muandishi wake nafikiri Ni mfalme Suleiman
kitabu kizuri. naona unachota hekima za mtu aliyewahi kutokea kuwa na hekima kuliko wote duniani.
mimi napenda fungu moja la kijasiliamali muhubiri 9:11
 
nilijaribu the Godfather,ila kama kinaniboa hivi,hivi patamu panaanzia ukurasa gani!maana kinaboa sana.

bora nianze kusoma vitabu vya self improvement!
Komaa nacho mdogo mdogo mkuu, ni kitabu chenye kurasa nyingi ila utakifurahia. Kama vipi tafuta movie yake, utafurahi pia.
 
kina husu nini mkuu

Ni story ya kijana mdogo wa kiisraeli. Alikua anapenda mchezo wa masumbwi tangu akiwa na umri mdogo (street fights). Mtindo aliyotumia mwandishi utaupenda, kwani jamaa anaongea na mwanae akiwa futi sita ardhini.. Niliisoma zamani kidogo sijui kama nimekupa hints kidogo.. A Stone for Danny Fisher!
 
nimekupata chief. imekaa vizuri
 
Naendelea na makosa ya jinai na utetezi by Abdalla Safari ni kizuri hasa kwa non legal personell,nikimaliza naingia cha Daudi Balali,INSHA'ALLAH
 
Mimi na vitabu?

Hapana
Kama ambavyo unashauriwa kufanya mazoezi ya mwili. Ubongo wako pia unahitaji mazoezi ili usisinyae au kudumaa.
Mazoezi ya ubongo bora kabisa ni kusoma vitabu(mental stimulation).

hii ni moja kati ya faida lukuku. Anza kidogo kidogo mkuu. sio rahisi lakini inawezekana
 
Moja ya hatua bora kabisa 2016 ni kuchukua uamuzi wa kusoma, Hii itakufanya mwakani kuwa mtu tofauti na unavyoanza leo.

Panga sasa.

Mimi naanza na kitabu cha zamani kabisa, kikisindikizwa na Chapter Moja ya Biblia Kila siku.
The Moral Sayings of Publius Syrus, A Roman slave from syria.

The Moral Sayings of Publius Syrus, a Roman Slave: From the Latin
Nakisomea kwa hii link hii hapo juu, kina page 88.

Wewe unaanza mwaka na kitabu gani????????
Mimi nimeanza na "Future Visions" by Microsoft scientists.
Pia kipo kingine nilikisoma like 3yrs ago, "The confession of an Economic hitman" uelewe michezo ya nchi tajiri dhidi ya mataifa mengine...
 
Mimi nimeanza na "Future Visions" by Microsoft scientists.
Pia kipo kingine nilikisoma like 3yrs ago, "The confession of an Economic hitman" uelewe michezo ya nchi tajiri dhidi ya mataifa mengine...
safi sana kiongozi.
 
Back
Top Bottom