Uliwahi kufanya tukio gani shuleni mpaka mwalimu/waalimu wakakushangaa kuwa na wewe kumbe umo ila huvumi.

Under-cover

JF-Expert Member
Nov 13, 2023
858
1,433
Hivi mliwahi kufanya tukio gani shuleni mpaka mwalimu/waalimu wakabaki wanashangaa na kusema iv kumbe na wewe umo? na tokea hapo wakaanza kukuchulia walewale tu?

Mimi nakumbuka tulikuwa kidato cha nne, ilikuwa mchana , madam g alikuwa yuko darasani kwetu mkondo A, alikuwa mwalimu wa somo la kiswahili.

Alikuwa anatoa maelekezo kuwa kesho yake asubuhi atawahi saa 1 kipindi chake kuja kutufundisha topiki mpya ila akaomba kwanza tukajisomee hio topiki , na akasema atakae chelewa ndio imeisha hiyo na kinachofatia tunakijua. Yule madam ni taita pale school, yaani ni yule ukijaa mikononi mwake hutoki.

Sasa bana usiku wake mimi sikusoma wala nini maana nilikuwa nimechoka alafu na kaz za pale home , nikajikuta nafanya homework nyingine ,hii ya kujisomea nikaacha nayo.

Pakakucha, nikawahi mapema sana kabla hajaingia, basi akaja akatukuta tume wahi, ila kama unavyojua hata ukitoa maswali mia ya hesabu za kujumlisha lazima wakukosa wakose tu, hivyo kuna wale waliochelewa tu , wakawa pending.

Akaanza kutusimamisha na kuuliza maswali mbalimbali juu ya kile tulichojifunza, kauliza weee, wakat huo mimi ndio naulizia kwa wana topiki inasemaje, na mule ndani zile key point ni zipi.

Aisee kama vile alijua sikusoma, nikasontwa wewe, tuambie ulijifunza nini ,na mwaandishi sehemu fulani alimaanisha nini?, mimi kimya, kigugumizi hicho, kashika bakola huku ananisogelea.

Sijui niliwaza nini, nikaropoka sijasoma, akanikaza macho na kukasirika, akasema yaani anatoa maelekezo alafu hayatekelezwi?, akauliza tena kwanini hukusoma, hapa ndio nilichanganya mambo, nilasema
SIKUWA NA MUDA.

Aisee alinijia pale nilipo kwa spidi kama umeme, nilikula bakora na kuletwa mbele ya darasa kula bakora hizoo, nilijuta, huku darasa linacheka, akaanza kumbe una kiburi ee?, nilikuwa nakuona kijana smart sana, nakusifia una mwandiko mzuri, na kazi zako unapangilia vizuri, aisee nilitukanwa.

Nikaambiwa nilete mzazi shuleni, kitu ambacho sijawahi kufanya toka nianze shule, wakati huo kashanitoa nje ya darasa, nikawaza yani nimuite mzazi, awapi, nikaenda kuomba msamaha na kumbembelza ticha ndio kidogo akanielewa.

Ila mpaka namaliza pale , alikuwa hanipendi yule madam, alikuwa ananikandia maneno kila aliponiona, kiufupi yule madam wanafunzi walikuwa hawamkubali ni mnoko mbaya , kusimamishwa au kufukuzwa yeye akisimamia utajuta, akiwa class anafundisha yani mtasemwa na kunangwa mule ndani, kipindi chake wanafunzi walikichukia sana.
 
Mimi nlikuwa chuo kikuu mlimani 2007 ndo ulikuwaast yr nlikuwa nasoma computer science. Sasa sikuwahi kuwa na background ya masomo ya science, ilikuwa ni degree ya 4 yrs kwa ajili ya vijana ambao hawakuwa na sifa za kujoin degree direct sababu ya kutokuwa na sifa.
Sasa mm nlisoma hgk but nikasoma veta ict.
Basi bn nlikuwa very smart and brave nlikuwa nakaa meza za mbele kabisa karibu na wahadhiri, kingine kilichonibeba ni lugja ya kimombo nlikuwa naongea mtu hafikirii mm mbongo, kumbe mnyantuzu tu. Tukawa na group of 4 wavulana 2 na waschana 2 waschana walikuwa weupe kila kona so tulikuwa tunawabeba sana, mm nlikuwa mkali masomo yote ya fani mwenzangu alisoma PCM so walimu walijua mm ndo nawafundiaha wenzangu kila kitu, huyu jamaa wa pcm alikuwa vizuri sana physics na math. Sikuwahi kukamatwa miaka yote hadi pepa moja la mwisho sio UE nikawa nimeondolewa kwenye group langu nikawekwa meza ya mbele zaidi ili kuwakomesha wale wenzangu, bila kujua kumbe mm ndo nlikuwa nakomeshwa. Jaamaa alisolve pepa yote akaniletea mezani wakati anakusanya yake sikuweza kuotumia. Ndipo yuleama alivogundua mm ndo sijui kitu.
Miss maleko siku hiyo ulininyorosha hukujua tu
 
😂😂😂
Nitarudi nilisimamishwa shule nikaambiwa kalete mzazi nikasema mzazi hayupo hapa Yupo Mkoa mwingine ninaishi na Mlezi. Nilipo enda kumchukua mlezi kumbe alishawahi kutapeliana na Ticha aisee moto uliwaka 😂😂😂
 
Bwana kuna kidem kiliniandikia barua sasa mjuba nikawa nimekijibu sema ile barua niliiweka kwenye kitabu cha math katikati🤣🤣🤣Kuna mjinga mm niko nje kachukua begi langu akafungua akachukua kitab na akakutana na barua ile ....si unajua maswala ya shule akaanza kuwaonesha watu wengine ghafla mwalim wa zamu akawakuta dah....acha nicheke tu maana nilikua kilanja harafu walim walikua wananiona na maadili kumbeeee 🤣🤣🤣🤣
 
Hivi mliwahi kufanya tukio gani shuleni mpaka mwalimu/waalimu wakabaki wanashangaa na kusema iv kumbe na wewe umo? na tokea hapo wakaanza kukuchulia walewale tu?

Mimi nakumbuka tulikuwa kidato cha nne, ilikuwa mchana , madam g alikuwa yuko darasani kwetu mkondo A, alikuwa mwalimu wa somo la kiswahili.

Alikuwa anatoa maelekezo kuwa kesho yake asubuhi atawahi saa 1 kipindi chake kuja kutufundisha topiki mpya ila akaomba kwanza tukajisomee hio topiki , na akasema atakae chelewa ndio imeisha hiyo na kinachofatia tunakijua. Yule madam ni taita pale school, yaani ni yule ukijaa mikononi mwake hutoki.

Sasa bana usiku wake mimi sikusoma wala nini maana nilikuwa nimechoka alafu na kaz za pale home , nikajikuta nafanya homework nyingine ,hii ya kujisomea nikaacha nayo.

Pakakucha, nikawahi mapema sana kabla hajaingia, basi akaja akatukuta tume wahi, ila kama unavyojua hata ukitoa maswali mia ya hesabu za kujumlisha lazima wakukosa wakose tu, hivyo kuna wale waliochelewa tu , wakawa pending.

Akaanza kutusimamisha na kuuliza maswali mbalimbali juu ya kile tulichojifunza, kauliza weee, wakat huo mimi ndio naulizia kwa wana topiki inasemaje, na mule ndani zile key point ni zipi.

Aisee kama vile alijua sikusoma, nikasontwa wewe, tuambie ulijifunza nini ,na mwaandishi sehemu fulani alimaanisha nini?, mimi kimya, kigugumizi hicho, kashika bakola huku ananisogelea.

Sijui niliwaza nini, nikaropoka sijasoma, akanikaza macho na kukasirika, akasema yaani anatoa maelekezo alafu hayatekelezwi?, akauliza tena kwanini hukusoma, hapa ndio nilichanganya mambo, nilasema
SIKUWA NA MUDA.

Aisee alinijia pale nilipo kwa spidi kama umeme, nilikula bakora na kuletwa mbele ya darasa kula bakora hizoo, nilijuta, huku darasa linacheka, akaanza kumbe una kiburi ee?, nilikuwa nakuona kijana smart sana, nakusifia una mwandiko mzuri, na kazi zako unapangilia vizuri, aisee nilitukanwa.

Nikaambiwa nilete mzazi shuleni, kitu ambacho sijawahi kufanya toka nianze shule, wakati huo kashanitoa nje ya darasa, nikawaza yani nimuite mzazi, awapi, nikaenda kuomba msamaha na kumbembelza ticha ndio kidogo akanielewa.

Ila mpaka namaliza pale , alikuwa hanipendi yule madam, alikuwa ananikandia maneno kila aliponiona, kiufupi yule madam wanafunzi walikuwa hawamkubali ni mnoko mbaya , kusimamishwa au kufukuzwa yeye akisimamia utajuta, akiwa class anafundisha yani mtasemwa na kunangwa mule ndani, kipindi chake wanafunzi walikichukia sana.
Nilikuwa mtaalamu WA vibuti atarii na nusu
Cku moja Rafiki yang alijaribu kuniiga alikuwa anatetemeka mbak akanifanye nicheke
 
Jamaa si akajisadia haja kubwa na ndogo kwenye ndroo mezani kwa mwalimu, akaandika kijikaratasi Mwalimu karibu Chai na Mkate...
 
😂😂😂😂 Kuna wanafunzi ni wehu kishenzi , umenikumbusha kuna machalii walipaka mavi kwenye meza za walimu staff, wale jamaa sijui waliwaza nini asieee.

Ofisi nzima ilikua inanuka nnya 😂😂
 
Back
Top Bottom