Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,386
- 4,736
Kuna muda ni vyema kuyakubali mabadiliko ili kileta tija na ushindani katika sekta zetu za maisha,wakati mwengine akili ya binadamu ipo based on benefits bila ya kucompare athari ya hatua anazozichukua.
Jana nimepanda daladala ya kutoka mbezi - Karikoo mida flani ya saa 7, kulikuwa na gari 2 aina ya costal zinakimbizana sijui changamoto hua ni aboria au kuwahi kituoni.
Mpaka nafika to my destination kichwa na kiuno vilikua kwenye maumivu makubwa,nashindwa kufahamu hawa jamaa wanawaza nini hasa wawapo barabarani.
Nimejikuta nakumbuka akili mnemba naona ni ahueni waingie kwenye soko la daladala ili kudhibigi ujinga huu wa akili za kibinadamu.
walamsiki