niliuziwa flash feke mkuu moja 10,000
Nikicheki kwenye computa inasoma 64GB lkn haiingizi hata mziki wa 10m.
Alafu kwa hasira nilinunua nyingi ili nikaziuzee
dah
We are sailing on the same boat broSijawahi tapeliwa kiihivyo labda tu jamaa zangu ambao nafahamiana nao vizuri anakukopa then hakulipi... hizo kwangu ni nyingi sana.
Mimi nilitapeliwa mwenyewe nikajikuta nipo geto, daaah ila hakunifanya lolote maana nililia sana
ungekua mwanangu nakukata brakeMm nlitapeliwa kwny minada hii kwanza nlikua napta mbali tu na walipo njian , nkashangaa besen likanipiga kichwani kumbe walilirusha nkafatwa et una bahat umejishindia begi la mgongon sogea karbu ushinde zaid kulikua na vitu ving spika zile kubwa had generator kupewa hzo kad za kucheza ss wananipa moyo umejiongezea point za kushinda ckuelewa wamefikaje kwny mkoba nlikua na elf 20 na cm walichukua kuja kushtuka naliwa nkaanza kulia tu na hawana time na mm na ile pesa nlikua naenda kukata tiket kesho yke niende shulen daaah