Ulikua baba au mama katika umri gani?

HUU MJADALA UNAKOELEKEA UTAKUJA KUSKIA "GOLI LA NGAPI NDIO MIMBA YA MTOTO ILIPATIKANA" AU UTASIKIA "SIKU YA MIMBA ULIKULA NINI..SUPU YA PWEZA AU NGISI?..AHAHAHAHAHHA.

MLETA MADA UMEKUJA NA RESEARCH YAKO UNAKUSANYA DATA HAPA AU?....ANYWAY....KAMA NI RESEARCH NAOMBA NIKUSAIDIE....MIE NILIPATA NIKIWA NA 40. SIJAWAHI WALA SIJACHELEWA SEMA NI MIKIKIMIKIKI YA MAISHA...UNAMALIZA CHUO UNA 27 YRS UNAHUSTLE KITAA MAISHA HAYAELEWEKI UNAAMUA KUJILIPUWA NA BADO HULIPUKI MPAKA SIR GOD ANAKUONA NA MWISHOWE UNAOA KID ANACHUKUWA MUDA KUJA THEN GOD ANAMLETA AT 40...UNAMPOKEA NA KUMSHUKURU AS MENGI ULISHAKUWA UMEYAWEKA VIZURI.
 
Dah at 25 kipindi hicho nipo chuo mwaka wa tatu.Bado kidogo niozeshwe sema nikaonewa huruma mpaka nimalize chuo.
 
Miaka 25, nikiwa field Mtwara nikafanya kweli kwa mtoto wa kimakonde. Hatukupanga kuzaa ila binti yangu ana miaka 6 sasa nakaa nae ingawa mama yake sijamuoa.
 
at 25 wiki iliyopta, nimepata baby boy wangu, mama yake ana 20 yrs, nakupenda sana mwanangu Benedict.
 
19 Nilitupia nyavu kwa mwanafunzi nikadakwa kama kuku nilipo fika gerezani nikazunga kama vile siyo mtuhumiwa 7bu nilikuwa mdogo sana so askari wa pale wakaniona kama mim ni mtoto wa askari wa pale kituoni nikazunga zunga nikatokea kwenye geti nikasepa mazimaaa hadi leo!

Yule demu kwao walikuwa mambo safi wakamhamishia kwa dada yake alikokuwa anasoma Canada hadi leo sijui kama yupo wala sijawah kuwasiliana nae
 
Back
Top Bottom