Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,102
- 4,228
Katika ubatili niliojifunza katika Dunia hii ni pamoja na kujitahidi kufanya mambo ili kuwaoneshea wengine kuwa wanavyosema au wanavyonitazama ni tofauti na nilivyo.
Huu nao ni utumwa mkubwa sana kwa sababu inamfanya mtu kuishi kwa sababu ya wengine badala ya kuishi kwa ajili yake mwenyewe. Jambo linalouma zaidi ni ukweli kuwa maisha yako ni yako.
Kuishi kwa kujionesha Kwa wengine kunamsahaulisha mtu kuishi kwa kujiona yeye mwenyewe.