Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,491
Nimekuwa nikisikiliza watu wengi wakitoa maoni yao kuhusu ile kauli ya Uhuru.
Wengi wanasema "afadhali Sasa nikafungue biashara yangu Kenya"
Unajiuliza biashara gani hiyo wewe kapuku unaenda kufungua huko? Huko siasa zao ni ngumu Sana utaweza kweli ikiwa ma-tycoon wa biashara walishindwa?
Wametokea watetezi wa kila aina kwenye hili suala, na wengine wameenda mbali na kuanza kuwatukana akina Rostam kwa kusema huko kufungua biashara ni ngumu Sana.
Wengine Mara watanzania mmezoea ujuaji Mara watanzania ni wavivu, sawa.
Lakini je Hadi Dangote nae ni mvivu? Mbona nae alitoa sababu kama za Rostam?
CRDB waliwahi kushindwa kufungua branch Nairobi sababu ni ubinafsi wa watu huko kwa kuona kuwa inaweza kufanya bank zao za kikenya kushindwa kufanya vizuri.
Pamoja na ugumu uliopo Rwanda Ila CRDB waliweza kufungua Branch, lakini Kenya walishindwa.
Mkenya yupo tayari mmarekani , mmarekani au muingereza au mzungu yoyote akafungue biashara kubwa kule kwao lakini sio mtanzania.
Chini nimeweka habari ya Dangote kushindwa kufungua biashara Kenya.