Ukweli ni upi kuhusu umbile la uume wangu?

wakuchafukwa

New Member
Apr 22, 2020
1
0
Habari zenu wakuu.

Kwanza poleni na janga la Covid19.

Niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi ni mwanaume. Na niko na mpenzi wangu mpya nilimpata hivi karibu.

Kabla ya kumpata huyu, hapo awali nilishawahi kuwa na wapenzi wengine tofauti tofauti zaidi ya watatu kwa kipindi tofauti.

Lengo la kuanzisha uzi naombeni mnisaidie.baada ya hapo nyuma kutembea na hao watatu, ilikuwa hivi kati ya hao watatu kabla ya huyu mpya niliempata kipindi hichi cha janga la corona.

Sasa wawili kati yao hao watatu, kipindi nilivyokuwa kwenye mahusiano nao walinitamkia nina kibamia tena wazi kabisa. nilihuzunika sana na kuhisi kuchanganyikiwa.

Ila mmoja aliebaki kati ya hao, alinisifu sana na kunisifia na size nzuri ya uume na ameipenda sana. Ila bahati mbaya huyu tulikuja kuachana kwa sababu fulani fulani.

Lakini baada ya wale wawili wa kwanza kunitamkia na kibamia. Kwanza nilikuwa sijui size ya uume wangu nilichukua rula na kupima nikakuta uume wangu una urefu wa 15cm.

Cha ajabu tena, huyu mpya ninae ishi nae ananiheshimu na kunisifia perfomance yangu nzuri kwenye mapenzi na huwa anasema anapenda sana size ya uume wangu.

Sasa ndugu zangu nahisi kuchanganyikiwa upi ukweli sahihi, kwa sababu nafikiria kwenda kuongeza ukubwa wa uume ili na mimi nisidharaulike. Je, hakuna madhara kiafya nikiongeza kwa njia ya asili?

Naombeni msaada.

Sir dreamcheaser
 
Kwanza pole sana ila mkuu size yako hata wewe roho yako inakupa majibu tu. kitu ndefu mwenyewe unaona tu. wale wenye mizigo watakubaliana na mm ikisimama hata wewe unasema kweli mtambo umeamka hata kwenye boksa haukai nyoka anatoka, sasa wewe unatafuta majibu wapi wakati unayo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana, 15 CM = 5.91 Inches of erected penis unaita kibamia!, vipi wale wa 3 Inches (erected) nao wasemaje?. Tafiti zinaonyesha normal sized penis ni 5.16 Inches, while 2.78 inches (erected) defined as micropenis.

KIMFAACHO MTU CHAKE!
 
Back
Top Bottom