Drat
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,135
- 1,336
Baba nchi ishavurugwa, achana na hizo stori. Ongelea ya kwakoš¤£.
Watu tumekaa kote.
Mkoani utapaona patamu ukiwa na kazi au biashara inayoeleweka, gharama za maisha ziko chini. Dar napo hivyo hivyo utapaona New York kama kipato chako ni cha kati kwenda juu.
Huna hela, una kipato cha chini mziki wa mkong'onto wa maisha ni ule ule tofauti ni tempo tu na dj anavyo scratchš¤£.
Kwa experience, nimewahi kubeba box za weight ya kawaida Dar kwa masaa kadhaa nikalipwa 50k, lakini Mwanza kazi ya 50k mpaka utawaza kwanini umezaliwa,ungekuwa hata wingu tu unyeshe uishe.
Mada za hivi huwa hazijengi, ungeiandika kwa namna nyingine utoe ushauri hata wa vijana ku invest katika kununua ardhi na kuziendeleza hata kwa manufaa ya vizazi vya baadae sababu mwaka 2100 Tz itakuwa inamiliki 1.02% ya global GDP ikiwa nafasi ya 19 kwa uchumi duniani.
Hivyo grand,grand children wata enjoyš.
Maana mkitoka hapo huwa mnaanza makabila,Wachaga wengi wana maisha mazuri kuliko Wahaya, badala ya kuwaza mchaga mimi na Mhaya mtoto wa Ali Mufuruki(R.I.P) tunafanana au naishi kwa tabu.