BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,126
Hofu yao inasababishwa na kumuona jinsi alivyopwaya katika nafasi ya Urais na athari kubwa kuanza kuonekana kwa dalili za kuanguka uchumi na ubakaji demokrasi nchini.
Hivyo wainusuru nchi kwa kutompa huyu nanihii uenyekiti wa chama na hivyo kupunguza uwezekano wa majanga makubwa nchini.
Hivyo wainusuru nchi kwa kutompa huyu nanihii uenyekiti wa chama na hivyo kupunguza uwezekano wa majanga makubwa nchini.