ivunya
JF-Expert Member
- Sep 18, 2015
- 2,290
- 2,219
Mrusi kajaribu kwenda mwenzin kashindwa anasema kabla kufikia kwenye mwenzi kuna joto Kali sana ambalo linayeyusha kitu chochote kile kumbuka kuwa mwenz unatoa mwanga. Mpaka Leo mmerecan ajaenda tena kwenye mwenz imebaki history katika vitabu, Mrusi kamwambia mmerecan kadanganya dunia. Miongon mwa hoja hata Mimi nimekubali ukiangalia picture yao wanayo dai wako mwenzini vitu vyote vina vivuli isipokuwa bendera yao, kwa nini bendera isiwe na kivuli.