Kwanini isiwe habari rasmi wakati imetolewa na boss wa bandari?! Mfanyakazi wa TMAA alisema wazi kiasi cha madini kilichomo kutokana na samples ambazo wamezichukua! Na utaratibu ni kwamba, sample zikishachukuliwa na kupimwa; makontena yanafungwa na TMAA wenyewe!!Kua makini Bwana! Hadi hapa uzi unassailable fresh sasa wewe unalterable Mzava!
Hiyo 90% ni habari Rasmi? Hadi sasa hatuna taarifa rasmi ya kilichopo kwenye makontena, lkn ninaami Rais anazo Taarifa za ndani zaidi , na hii yote ni kwa usalama wa uChumi wa Taifa.
Boss wa bandari akasema si kweli; kwa kutumia mitambo yao wameona dhahabu ni 90% na ndio maana JPM akautangazia umma kwamba "...Watanzania, dhahabu iliyomo kwenye haya makontena nikiwaambia mtalia!"
Sasa watu tumekaa standby na miwani nyeusi tunasubiri kulia siku Mheshimiwa atakavyotangaza tani za dhahabu zigo la dhahabu lilimo kwenye hizo kontena!
Lakini cha ajabu, badala ya kututangazia hilo zigo; ndo kwanza wanazidi kujitekenya wenyewe... mara spika wa bunge, mara PM anaenda migodini kwa kushitukiza... upuuzi mtupu!