Ukweli haupingiki; Wazanzibar tunadhulumiwa na TANESCO kwa kuwekewa makato ya ziada kwenye umeme

Mkuu Eleesha, kwanza nitoe pole kwa Wanzanzibari, kutokana na tabia ya kuzoea vya bure kwa kila kitu kutaka kubebwa bebwa, itafikia mahali hata mbeleko yenyewe inaelemewa mwishowe ina hatari ya kukatika!.

Hayo malipo unayoyaita makato ya ziada
3% Umeme vijijini (REA)
2% Energy and Water Regulatory Authority. (EWURA)
, isio makato ya ziada bali ni statutory payments kwenye package ya Tanesco.

Statutory payments ziko kwa mujibu wa sheria, mtu yoyote atakayetumia huduma za Tanesco lazima ayalipe regardless anahudumiwa na REA or na Ewura kwa sababu malipo haya ni package!.

Namna pekee kwa Zanzibar kuepuka malipo haya ni kufua umeme wake mwenyewe.

Tanesco ni kampuni inayouza bidhaa, ya umeme, bei ya bidhaa hiyo ni kiasi kadhaa kwa unit moja. Kila atakayenunua bidhaa hiyo lazima alipie kiasi kilichopangwa regardless malipo mengine yanamuhusu au hayamhusu.

Katika mahangaiko ya maisha, kuna wakati niliishi UK Katika jiji la London nikifanya kazi ya kubeba box. Ukifanya kazi yoyote halali UK, ukilipwa lazima ukatwe kodi. Ndani ya kodi hiyo unayokatwa kuna hadi kodi ya kulipia BBC ndani yake. Nikasema mimi siangalii BBC, sina TV wala redio!. Nikaelezwa hayo ni malipo ya lazima haijalishi unaangalia BBC au haungalii, unasikiliza Redio au hausikilizi, maadam hiyo nyumba ina TV set na kuna watu wanaishi humo, lazima utalipia TV levy hata kama hautawasha hiyo TV mwaka mzima. It's in a package ya kodi lazima ulipe.

Hata sisi kwenye mifumo yetu kuna malipo ya SDL yanayokwenda VETA, taasisi zote za Zanzibar zilizo Bara lazima zilipe hata kama VETA sio taasisi ya Muungano. That is the package!.

Baada ya kugundulika gesi Mtwara, Dangote akajenga kiwanda cha cement Mtwara ili apate gesi kwa urais.

Tanzania tumejenga bomba la gesi kwa mkopo wa dola billion 1.2 kutoka Exim Bank ya Uchina, mkopo huo utalipiwa na gesi inayochimbwa Mtwara. TPDC kwenye kukokotoa viwango vya bei ya gesi, pia vimejumuisha gharama za kusafirisha hiyo gesi kutoka Mtwara hadi Dar ndipo wakaja na bei ya gesi ya LNG.

Dangote kagoma kulipa kwa hoja kuwa alijenga kiwanda Mtwara ili kuepuka gesi kusafirishwa. Kwa nini alipie gharama za kusafirisha gesi wakati kiwanda chake hakihitaji gesi ya kusafirishwa?. Akaambiwa that is the package price!. Akagoma!.

Akaamua kutumia makaa ya mawe ya Ngaka ikatokea hawana uwezo wa kuzalisha kutosheleza mahitaji ya kiwanda chake, hivyo akaagiza makaa ya kutosha kutoka Afrika Kusini, serikali ikapiga marufuku kuagiza makaa. Jamaa akakasirika akafunga kiwanda, hadi Magufuli alipoingilia kati kumruhusu kuchimba makaa yake na auziwe gesi kwa bei halisi bila gharama ya kusafirishwa hivyo atasafirisha mwenyewe hadi kiwandani kwake.

Vivyo hivyo kwa Zanzibar, we are very sorry for you, lazima ama mlipie umeme kwa bei iliyopangwa ama fueni umeme wenu au mtumie vibatari.

Paskali
Sasa tunachotaka sisi hiyo Package iondolewe maana ni un necessary costs, ni kawaida kwenye biashara munapoeka mikataba ukaona Costs ambazo si za ulazima ni kukaa kitako mkafanya negotiations mkaziondoa hizo cost. Asante kwa kunifunua macho kwa kunipa mfano wa dangote, hapo nimejifunza jinsi gani Tanganyika inavoikandamiza Zanzibar. Maana tukitaka tusitake hizi Package ulizosema hazina faida hata moja kwa Zanzibar.
 
Kwa iyi hao wazanzibar wanaoishi vijijini wananunua umeme zeko au?
Usinambie huwa wanakuja bara na umeme wao kwenye masanduku toka zanzibar...then huo umeme umetoka bara unatumia miundombinu ya bara lazima mchangie kuiboresha otherwise labda kama ungekuwa unazalishiwa huko huko.
 
Mkuu Eleesha, kwanza nitoe pole kwa Wanzanzibari, kutokana na tabia ya kuzoea vya bure kwa kila kitu kutaka kubebwa bebwa, itafikia mahali hata mbeleko yenyewe inaelemewa mwishowe ina hatari ya kukatika!.

Hayo malipo unayoyaita makato ya ziada
3% Umeme vijijini (REA)
2% Energy and Water Regulatory Authority. (EWURA)
, isio makato ya ziada bali ni statutory payments kwenye package ya Tanesco.

Statutory payments ziko kwa mujibu wa sheria, mtu yoyote atakayetumia huduma za Tanesco lazima ayalipe regardless anahudumiwa na REA or na Ewura kwa sababu malipo haya ni package!.

Namna pekee kwa Zanzibar kuepuka malipo haya ni kufua umeme wake mwenyewe.

Tanesco ni kampuni inayouza bidhaa, ya umeme, bei ya bidhaa hiyo ni kiasi kadhaa kwa unit moja. Kila atakayenunua bidhaa hiyo lazima alipie kiasi kilichopangwa regardless malipo mengine yanamuhusu au hayamhusu.

Katika mahangaiko ya maisha, kuna wakati niliishi UK Katika jiji la London nikifanya kazi ya kubeba box. Ukifanya kazi yoyote halali UK, ukilipwa lazima ukatwe kodi. Ndani ya kodi hiyo unayokatwa kuna hadi kodi ya kulipia BBC ndani yake. Nikasema mimi siangalii BBC, sina TV wala redio!. Nikaelezwa hayo ni malipo ya lazima haijalishi unaangalia BBC au haungalii, unasikiliza Redio au hausikilizi, maadam hiyo nyumba ina TV set na kuna watu wanaishi humo, lazima utalipia TV levy hata kama hautawasha hiyo TV mwaka mzima. It's in a package ya kodi lazima ulipe.

Hata sisi kwenye mifumo yetu kuna malipo ya SDL yanayokwenda VETA, taasisi zote za Zanzibar zilizo Bara lazima zilipe hata kama VETA sio taasisi ya Muungano. That is the package!.

Baada ya kugundulika gesi Mtwara, Dangote akajenga kiwanda cha cement Mtwara ili apate gesi kwa urais.

Tanzania tumejenga bomba la gesi kwa mkopo wa dola billion 1.2 kutoka Exim Bank ya Uchina, mkopo huo utalipiwa na gesi inayochimbwa Mtwara. TPDC kwenye kukokotoa viwango vya bei ya gesi, pia vimejumuisha gharama za kusafirisha hiyo gesi kutoka Mtwara hadi Dar ndipo wakaja na bei ya gesi ya LNG.

Dangote kagoma kulipa kwa hoja kuwa alijenga kiwanda Mtwara ili kuepuka gesi kusafirishwa. Kwa nini alipie gharama za kusafirisha gesi wakati kiwanda chake hakihitaji gesi ya kusafirishwa?. Akaambiwa that is the package price!. Akagoma!.

Akaamua kutumia makaa ya mawe ya Ngaka ikatokea hawana uwezo wa kuzalisha kutosheleza mahitaji ya kiwanda chake, hivyo akaagiza makaa ya kutosha kutoka Afrika Kusini, serikali ikapiga marufuku kuagiza makaa. Jamaa akakasirika akafunga kiwanda, hadi Magufuli alipoingilia kati kumruhusu kuchimba makaa yake na auziwe gesi kwa bei halisi bila gharama ya kusafirishwa hivyo atasafirisha mwenyewe hadi kiwandani kwake.

Vivyo hivyo kwa Zanzibar, we are very sorry for you, lazima ama mlipie umeme kwa bei iliyopangwa ama fueni umeme wenu au mtumie vibatari.

Paskali
Mhhh mwezi mchanga?
 
Hapa tunazungumzia umeme anaouziwa Zeco kutoka tanesco, na sio umeme anaoutumia mzanzibari kijijini. Hayo makato hayahusiani kabisa na Zeco maana mzanzibari wa kawaida hanufaiki na hayo makato
 
Kwa maana
Mkuu Pascal Mayalla ahasante kwa maelezo. Zaidi ya hapo wznz wajue kuwa umeme unaovushwa kuna service charge za miundo mbinu. Nani analipa?
Pesa za MCC walipewa kwa ajili ya umeme vijijini. Kiasi hicho ni kikubwa kuliko mkoa wa Tanganyika

Zeco wanakusanya bill za wateja. Wanazipeleka wapi?
Wznz wamesahau kuwa kulikuwa na ufujaji wa pesa hizo zeco?

Leo wakiambiwa katika deni la bilioni takribani 120 walipe bilioni 100 hawataki

Wanazaidi ya miaka 10 SMZ haijalipa kwavile tu wanapata bure

Kikubwa cha kuwauliza, wanaonewa! kwenye muungano wanachangia nini?

Hoja ya kutaka kila kitu bure inachosha. Wanapewa hadi bajeti bado wanadhani wanaonewa

Hao wabunge wa znz wanaosema wanaonewa wapo Dodoma kwa kodi za Mtanganyika siyo SMZ

Kuondokana na adha wafue umeme wao wa upepo au mafuta, hawalazimishwi kuchuku bara

Zaidi ya kudai hawana gharama nyingine zozote ndani ya muungano.

Halafu wznz wajiulize, nani aibie znz na kwasababu zipi. Bajeti yao nzima ni ya wizara moja tu
hiyo REA NA EWURA ni service charge au cjafaham?
 
Hapa tunazungumzia umeme anaouziwa Zeco kutoka tanesco, na sio umeme anaoutumia mzanzibari kijijini. Hayo makato hayahusiani kabisa na Zeco maana mzanzibari wa kawaida hanufaiki na hayo makato
Huo umemwe unazalishwa bara au zanzibar? Kama unazalishwa bara lazima wabara wanufaike na umeme unaotoka kwao..
 
Acha uongo! ZECO wanauziwa umeme na TANESCO below the market price. Kama wanaona wanadhulumiwa wambie nao wazalishe umeme wao... Mafuta, Upepo vyote si vipo Zbar?
 
Wazanzibar acheni kelele. Mlishaambiwa jitoeni kwny muungano au km mnaupenda endeleeni ila kubali matokeo. Kila sekta mnalalamika tu. Si mpge kura ya maoni mjitoe kwny muungano
 
Suluhisho ni nini ? Jee kuna mkataba kuwa Marine cable za umeme kwenda Pemba na Unguja lazima zinunue umeme kutoka Tanesco ?
Jee Marine cable ni mali ya nani? Ni Mali ya Zanzibar imejenga kwa pesa zake na msaada
Kama Tanesco wananunua umeme kutoka IPTL , Pan African Gas na Symbion na wao wanaweka cha Juu then wawauzie Zanzibar kwa nini Zanzibar wasifanye makubaliano na Symbion na wazalishaji wengine wakanunua umeme direct kutoka huko badala ya Tanesco ambao hawana umeme wa kutosha
Au kwa nini kwa vile tunaambiwa gas na petrol ni mambo ya muungano wanajenga gas power station zao hapa Tanganyika na kuupekeka znz ?
Jee faida ya muungano ni nini ?
 
Rea na Ewura sio haki kuwakata umeme unao uza znz...huo ni wizi na ujinga wa ccm znz ...makato hayo haya wahusu znz ...
Ni kweli Tanesco wanawaibia Znz ...ni wizi..bora wasilipe tu
 
Mkuu Eleesha, kwanza nitoe pole kwa Wanzanzibari, kutokana na tabia ya kuzoea vya bure kwa kila kitu kutaka kubebwa bebwa, itafikia mahali hata mbeleko yenyewe inaelemewa mwishowe ina hatari ya kukatika!.

Hayo malipo unayoyaita makato ya ziada
3% Umeme vijijini (REA)
2% Energy and Water Regulatory Authority. (EWURA)
, isio makato ya ziada bali ni statutory payments kwenye package ya Tanesco.

Statutory payments ziko kwa mujibu wa sheria, mtu yoyote atakayetumia huduma za Tanesco lazima ayalipe regardless anahudumiwa na REA or na Ewura kwa sababu malipo haya ni package!.

Namna pekee kwa Zanzibar kuepuka malipo haya ni kufua umeme wake mwenyewe.

Tanesco ni kampuni inayouza bidhaa, ya umeme, bei ya bidhaa hiyo ni kiasi kadhaa kwa unit moja. Kila atakayenunua bidhaa hiyo lazima alipie kiasi kilichopangwa regardless malipo mengine yanamuhusu au hayamhusu.

Katika mahangaiko ya maisha, kuna wakati niliishi UK Katika jiji la London nikifanya kazi ya kubeba box. Ukifanya kazi yoyote halali UK, ukilipwa lazima ukatwe kodi. Ndani ya kodi hiyo unayokatwa kuna hadi kodi ya kulipia BBC ndani yake. Nikasema mimi siangalii BBC, sina TV wala redio!. Nikaelezwa hayo ni malipo ya lazima haijalishi unaangalia BBC au haungalii, unasikiliza Redio au hausikilizi, maadam hiyo nyumba ina TV set na kuna watu wanaishi humo, lazima utalipia TV levy hata kama hautawasha hiyo TV mwaka mzima. It's in a package ya kodi lazima ulipe.

Hata sisi kwenye mifumo yetu kuna malipo ya SDL yanayokwenda VETA, taasisi zote za Zanzibar zilizo Bara lazima zilipe hata kama VETA sio taasisi ya Muungano. That is the package!.

Baada ya kugundulika gesi Mtwara, Dangote akajenga kiwanda cha cement Mtwara ili apate gesi kwa urais.

Tanzania tumejenga bomba la gesi kwa mkopo wa dola billion 1.2 kutoka Exim Bank ya Uchina, mkopo huo utalipiwa na gesi inayochimbwa Mtwara. TPDC kwenye kukokotoa viwango vya bei ya gesi, pia vimejumuisha gharama za kusafirisha hiyo gesi kutoka Mtwara hadi Dar ndipo wakaja na bei ya gesi ya LNG.

Dangote kagoma kulipa kwa hoja kuwa alijenga kiwanda Mtwara ili kuepuka gesi kusafirishwa. Kwa nini alipie gharama za kusafirisha gesi wakati kiwanda chake hakihitaji gesi ya kusafirishwa?. Akaambiwa that is the package price!. Akagoma!.

Akaamua kutumia makaa ya mawe ya Ngaka ikatokea hawana uwezo wa kuzalisha kutosheleza mahitaji ya kiwanda chake, hivyo akaagiza makaa ya kutosha kutoka Afrika Kusini, serikali ikapiga marufuku kuagiza makaa. Jamaa akakasirika akafunga kiwanda, hadi Magufuli alipoingilia kati kumruhusu kuchimba makaa yake na auziwe gesi kwa bei halisi bila gharama ya kusafirishwa hivyo atasafirisha mwenyewe hadi kiwandani kwake.

Vivyo hivyo kwa Zanzibar, we are very sorry for you, lazima ama mlipie umeme kwa bei iliyopangwa ama fueni umeme wenu au mtumie vibatari.

Paskali
Hiyo statutory payments ina faida kwa wazanzibari? REA wana na EWURA wanainufaisha ipi Zanzibar? Kama ni sheria ni sheria kandamizi haiwafai wazanzibari.
 
Mkuu Pascal Mayalla ahasante kwa maelezo. Zaidi ya hapo wznz wajue kuwa umeme unaovushwa kuna service charge za miundo mbinu. Nani analipa?
Pesa za MCC walipewa kwa ajili ya umeme vijijini. Kiasi hicho ni kikubwa kuliko mkoa wa Tanganyika

Zeco wanakusanya bill za wateja. Wanazipeleka wapi?
Wznz wamesahau kuwa kulikuwa na ufujaji wa pesa hizo zeco?

Leo wakiambiwa katika deni la bilioni takribani 120 walipe bilioni 100 hawataki

Wanazaidi ya miaka 10 SMZ haijalipa kwavile tu wanapata bure

Kikubwa cha kuwauliza, wanaonewa! kwenye muungano wanachangia nini?

Hoja ya kutaka kila kitu bure inachosha. Wanapewa hadi bajeti bado wanadhani wanaonewa

Hao wabunge wa znz wanaosema wanaonewa wapo Dodoma kwa kodi za Mtanganyika siyo SMZ

Kuondokana na adha wafue umeme wao wa upepo au mafuta, hawalazimishwi kuchuku bara

Zaidi ya kudai hawana gharama nyingine zozote ndani ya muungano.

Halafu wznz wajiulize, nani aibie znz na kwasababu zipi. Bajeti yao nzima ni ya wizara moja tu
Kwani makubaliano ya kuuziana umeme kutoka bara kwenda visiwani yakoje?
 
we don't provide free lunch to anybody kila kitu mnalalamika
vunjeni muungano mtengeneze umeme wenu wa bure mjiunge na ile OIC yenu mnayopigiaga kelele. kodi zetu zinawalisha alafu kelele nyingi vunjeni muungano simple
 
mkome na nyie kila siku mnalalamika vitu vilevile tukiwashauri muachane na ccm muwehuru hamtaki,endeleeni kunyongwa mpaka mfe mlivyo wachache mlitakiwa mfanane Bahrain...!!!
 
Mkuu Eleesha, kwanza nitoe pole kwa Wanzanzibari, kutokana na tabia ya kuzoea vya bure kwa kila kitu kutaka kubebwa bebwa, itafikia mahali hata mbeleko yenyewe inaelemewa mwishowe ina hatari ya kukatika!.

Hayo malipo unayoyaita makato ya ziada
3% Umeme vijijini (REA)
2% Energy and Water Regulatory Authority. (EWURA)
, isio makato ya ziada bali ni statutory payments kwenye package ya Tanesco.

Statutory payments ziko kwa mujibu wa sheria, mtu yoyote atakayetumia huduma za Tanesco lazima ayalipe regardless anahudumiwa na REA or na Ewura kwa sababu malipo haya ni package!.

Namna pekee kwa Zanzibar kuepuka malipo haya ni kufua umeme wake mwenyewe.

Tanesco ni kampuni inayouza bidhaa, ya umeme, bei ya bidhaa hiyo ni kiasi kadhaa kwa unit moja. Kila atakayenunua bidhaa hiyo lazima alipie kiasi kilichopangwa regardless malipo mengine yanamuhusu au hayamhusu.

Katika mahangaiko ya maisha, kuna wakati niliishi UK Katika jiji la London nikifanya kazi ya kubeba box. Ukifanya kazi yoyote halali UK, ukilipwa lazima ukatwe kodi. Ndani ya kodi hiyo unayokatwa kuna hadi kodi ya kulipia BBC ndani yake. Nikasema mimi siangalii BBC, sina TV wala redio!. Nikaelezwa hayo ni malipo ya lazima haijalishi unaangalia BBC au haungalii, unasikiliza Redio au hausikilizi, maadam hiyo nyumba ina TV set na kuna watu wanaishi humo, lazima utalipia TV levy hata kama hautawasha hiyo TV mwaka mzima. It's in a package ya kodi lazima ulipe.

Hata sisi kwenye mifumo yetu kuna malipo ya SDL yanayokwenda VETA, taasisi zote za Zanzibar zilizo Bara lazima zilipe hata kama VETA sio taasisi ya Muungano. That is the package!.

Baada ya kugundulika gesi Mtwara, Dangote akajenga kiwanda cha cement Mtwara ili apate gesi kwa urais.

Tanzania tumejenga bomba la gesi kwa mkopo wa dola billion 1.2 kutoka Exim Bank ya Uchina, mkopo huo utalipiwa na gesi inayochimbwa Mtwara. TPDC kwenye kukokotoa viwango vya bei ya gesi, pia vimejumuisha gharama za kusafirisha hiyo gesi kutoka Mtwara hadi Dar ndipo wakaja na bei ya gesi ya LNG.

Dangote kagoma kulipa kwa hoja kuwa alijenga kiwanda Mtwara ili kuepuka gesi kusafirishwa. Kwa nini alipie gharama za kusafirisha gesi wakati kiwanda chake hakihitaji gesi ya kusafirishwa?. Akaambiwa that is the package price!. Akagoma!.

Akaamua kutumia makaa ya mawe ya Ngaka ikatokea hawana uwezo wa kuzalisha kutosheleza mahitaji ya kiwanda chake, hivyo akaagiza makaa ya kutosha kutoka Afrika Kusini, serikali ikapiga marufuku kuagiza makaa. Jamaa akakasirika akafunga kiwanda, hadi Magufuli alipoingilia kati kumruhusu kuchimba makaa yake na auziwe gesi kwa bei halisi bila gharama ya kusafirishwa hivyo atasafirisha mwenyewe hadi kiwandani kwake.

Vivyo hivyo kwa Zanzibar, we are very sorry for you, lazima ama mlipie umeme kwa bei iliyopangwa ama fueni umeme wenu au mtumie vibatari.

Paskali

Hii ni dhihaki .Ipo siku tutakudhihaki nawe
 
Back
Top Bottom