musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 490
- 720
Dini ya Kikristo Ulaya inazidi kuwa katika hali mbaya. Uislam unashamiri, sisemi uislam ni jambo baya.
Hapa kwetu viongozi wa siasa wanaweza kufanya chochote na imani za watu.
Kuna tamasha linaendelea la 'kuiombea nchi na viongozi'
Waratibu ni vyombo kama WASAFI na wengineo. Swali, viongozi wetu kweli wameshindwa kujua kama wanatumika?
Pongezi ndugu zetu waislam, ninyi hamtaki mchezo na dini yenu, tuna mifano mingi mpaka ya kupigwa viongozi wakubwa.
Lakini watu wachache pia wanaweza kuwatia katika hatari tunayopitia.
Hili tamasha la Leaders club kweli ni la kuliombea Taifa?
Tuache basi mchezo na Mungu, tusije jipata katika matatizo makubwa.