Sinoni
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 6,543
- 11,493
Kwa hiyo CIA, FBI, NSA na mashirika mengine ya USA Kushindwa kung'amua hiyo hujuma?Trump anachofanya kwa urusi ni kama kutoa hisani na zawadi maana kama si propaganda za urusi kwenye mitandao ya kijamii Leo hii asingeupata uraisi kwenye ile tem ya Kwanzaa haikuwa direct ila indirect way kwa kutumia account fake na kuweka habari nzuri za trump so anarudisha fadhila