lucas mollel
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 255
- 133
Twaweza ni wazushi tu,hawana lolote.Hakuna njaa.Njaa iko kwa waliokuwa wapiga dili na wale wavivu wasiotaka kufanya kazi lakini wanataka kula.Hapa kazi tu.You can't use an anecdotal example to dismiss the claim kwamba hakuna njaa, that one person isn't a representative of a whole
Njaa ipo and it has been proven kwa kutumia tafiti, soma report ya twaweza iliyokuwa published recently
...UN, ambao shughuli zao za huduma, na misaada ya kibinadam, msingi wake ni tafiti, imetoa taarifa kwa mujibu wa tafiti zake kuwa nchi nne ulimwengu(yemen, sudan kusini, somalia, na nigeria/kaskazini mashariki), ndio nchi zinazokabiliwa na baa la njaa, na juhudi zifanyike kuzisaidia, kukabiliana na baa hilo...baadhi ya vigezo vya UN, kutangaza baa la njaa, ni pamoja na asilimia 20, ya watu ktk eneo husika wakishindwa kukabiliana na upungufu wa chakula(twaweza wanasema theluthi, i.e 33% ya watanzania wanalalia mlo mmoja kwa siku, au wanakosa kabisa),na mlipuko mkubwa wa utapiamlo kwa wtt...You can't use an anecdotal example to dismiss the claim kwamba hakuna njaa, that one person isn't a representative of a whole
Njaa ipo and it has been proven kwa kutumia tafiti, soma report ya twaweza iliyokuwa published recently
U put it very right!Two different, unrelated cases!
Serikali yenyewe imekiri bungeni, What is so called njaa kimsingi ni ukata, watu hawaafford kununua hivyo vyakula!
Mkuu, kama mahindi yapo sokoni, na bei iko juu....basi kuna tatizo lingine....ukata....!Huku njaa Ipo,debe la mahindi 25000,Hii ni Mbeya.Huwezi kuelewa lakini,UPO MAREKANI.
You can't use an anecdotal example to dismiss the claim kwamba hakuna njaa, that one person isn't a representative of a whole
Njaa ipo and it has been proven kwa kutumia tafiti, soma report ya twaweza iliyokuwa published recently
Kilo moja ya unga 2000
Nenda Sokoni ukaulize bei ya debe la Mahindi, Kilo ya mchele halafu ulinganishe na miaka miwili iliyopita, halafu ujiulize mtu wa kijijini hela ambavyo haipatikani anamuduje kunua hayo mahindi na kwa familia zetu tunavyojua kuzaa.
Ukishayafanya hayo, njoo tena na swali lako la njaa.
Huku njaa Ipo,debe la mahindi 25000,Hii ni Mbeya.Huwezi kuelewa lakini,UPO MAREKANI.
MBEYA ya wapi hiyo debe 25,000/= nianze biashara? Hapa Mbalizi debe debe 15,000/= hadi 13,000/=Huku njaa Ipo,debe la mahindi 25000,Hii ni Mbeya.Huwezi kuelewa lakini,UPO MAREKANI.
Njombe imepungua kwa sasa 15000 kutoka 20000.Huku njaa Ipo,debe la mahindi 25000,Hii ni Mbeya.Huwezi kuelewa lakini,UPO MAREKANI.
Hiyo ndiyo njaa kwa maoni ya baadhi ya watu mitaani na watafiti uchwara. Kabla hatujarudi studio kwa matokeo mengine zaidi kwa njia ya mtandao, naomba kutoa maoni yangu. Yaonekana bei ya mazao ya vyakula ikipanda, hiyo ni njaa. Sukari ilipopanda bei, hiyo haikuwa njaa. Kilo ya samaki ilipopanda bei kwa sababu ya rift valley fever, haikuwa njaa.
Maoni ya undani hebu tujadiliane. Mazao ya chakula kama Mpunga/mchele na mahindi hayaangaliwi sana na mpaka sasa hakuna anayeweza kunieleza bei halisi ya mazao hayo ni ipi, ili mkulima asipate hasara na mlaji asiumie. Kila mwaka wakati wa mavuno, mkulima ni kama anagawa bure mazao yake. November 2014 bei ya gunia la mahindi Sumbawanga liliuzwa TZS 8000 - 12000! Bei ya kishenzi kabisa! Walaji hawakusikiliza kilio cha mkulima, walikenua na wengine kusanga na kulisha nguruwe. Leo hii bei ya debe inapofikia 25000 watu walalama eti hiyo ndiyo njaa!
Serikali iliyopita iliwahi ruhusu uingizaji wa mchele wa nje kwa sababu tu kilo moja Dar ilifikia 2500. Mchele ukaingia na wafanyabiashara walionunua kwa mkulima na baadhi ya wakulima wakapigwa hasara.
Mwanakijiji wewe sio mtafiti wala mchumi, dalili moja ya bidhaa kuadimika (chakula hususani Mahindi) ni kupanda bei ya bidahaa hiyo, mfuko wa unga wa kilo 25 mwaka juzi tulikua tunanunua sh 27,000 leo 39,000. Sasa upungufu huu unasababishwa na nini? hii ni dalili ya uhaba mkubwa wa mahindi na ndio dalili za NJAA yenyewe. Miaka ya nyumba MWANAKIJIJI ulikua unaandika makala zenye msingi sana, SIJUI UMEPATWA NA NINI? au huyu siye mwanakijiji halisi huyu ni mwanakijiji bashite.Najua watu wanataka kuona vyeti vya Makonda, na wengine wangependa aondolowe Mkoa wa Dar na aletwe mtu mwingine mwenye vyeti vinavyoweza kuthibitisha kuwa alisoma shule ya vidudu a.k.a chekechea wapi, shule ya msingi wapi (na kama hakuhama) na hata ijulikane majina yake ya utotoni au ya Kilugha. Na najua watu wengine wamekwazika na yaliyotokea kwenye Mkutano Mkuu wa CCM na wengine wanaendelea kufuatilia yanayotokea TLS na matukio mengine mengi.. habari ya Magu kufisiwa na Trump (ambayo nilisema ilipoletwa humu haina ukweli) na habari nyingine nyingi..
Ila kati ya mengi ambayo binafsi nilitaka kusikia ni kuwa suala la njaa limeishia wapi. Maana mwaka ulivyoanza tulitaka kuaminishwa kabisa kuwa kuna watu wanakufa hasa baada ya "mifugo 3000" ya watu wenye njaa ilipokufa! Nakumbuka hata Magufuli alipofika mahali fulani watu walimlilia na kusema "njaa, njaa" hadi akawajibu 'mbovu' (walikuwa wanacheka wale waliokuwa wanasema 'njaa njaa').
Mvua zimeanza kunyesha na mafuriko kila kona, na juzi nimemuona dadangu mmoja nyumbani akitembelea shamba lake la mahindi huko Songea; mahindi yakiwa ya kijani kitupu yamefika kiunoni sasa.. nikabakia kujiuliza ile njaa ilikuwa kweli njaa au vipi?
Njaa ile imeisha au ni njaa itakayokuja; ni njaa iliyokuwepo tayari au kulikuwa na tishio la njaa baadaye mwakani au mwaka huu? Ni njaa ambayo maeneo yale ambayo yalikuwa kame bado yana ukame na watu hawajaweza kupanda au sasa yamekuga ya kijani tangu mvua zianze na watu wameanza kupanda..
Kama njaa haikuwa njaa ya kutisha kama tulivyoambiwa; itakuwaje siku kama kutakuwa na tishio la njaa la kweli. Siyo kwamba ndugu zetu waliolia "njaa njaa" wakawa kama yule mtoto wa kwenye simulizi la Hisopo aliyelia "mbwa mwitu mbwa mwitu" kwa sababu tu alikuwa ameboreka wakati anachunga kumbe hakukuwa na mbwa mwitu? Siku moja mbwa mwitu kweli akatokea na alia "mbwa mwitu!" watu wakadhani "ndiyo alivyo huyo" wakapuuzia?
Najisikia kukorofisha watu tu ili wahoji mambo makubwa zaidi yanayotishia taifa letu na vijana wetu kuliko vyeti vya Paul Makonda a.k.a Bashite Original.. or they say.
Najua watu wanataka kuona vyeti vya Makonda, na wengine wangependa aondolowe Mkoa wa Dar na aletwe mtu mwingine mwenye vyeti vinavyoweza kuthibitisha kuwa alisoma shule ya vidudu a.k.a chekechea wapi, shule ya msingi wapi (na kama hakuhama) na hata ijulikane majina yake ya utotoni au ya Kilugha. Na najua watu wengine wamekwazika na yaliyotokea kwenye Mkutano Mkuu wa CCM na wengine wanaendelea kufuatilia yanayotokea TLS na matukio mengine mengi.. habari ya Magu kufisiwa na Trump (ambayo nilisema ilipoletwa humu haina ukweli) na habari nyingine nyingi..
Ila kati ya mengi ambayo binafsi nilitaka kusikia ni kuwa suala la njaa limeishia wapi. Maana mwaka ulivyoanza tulitaka kuaminishwa kabisa kuwa kuna watu wanakufa hasa baada ya "mifugo 3000" ya watu wenye njaa ilipokufa! Nakumbuka hata Magufuli alipofika mahali fulani watu walimlilia na kusema "njaa, njaa" hadi akawajibu 'mbovu' (walikuwa wanacheka wale waliokuwa wanasema 'njaa njaa').
Mvua zimeanza kunyesha na mafuriko kila kona, na juzi nimemuona dadangu mmoja nyumbani akitembelea shamba lake la mahindi huko Songea; mahindi yakiwa ya kijani kitupu yamefika kiunoni sasa.. nikabakia kujiuliza ile njaa ilikuwa kweli njaa au vipi?
Njaa ile imeisha au ni njaa itakayokuja; ni njaa iliyokuwepo tayari au kulikuwa na tishio la njaa baadaye mwakani au mwaka huu? Ni njaa ambayo maeneo yale ambayo yalikuwa kame bado yana ukame na watu hawajaweza kupanda au sasa yamekuga ya kijani tangu mvua zianze na watu wameanza kupanda..
Kama njaa haikuwa njaa ya kutisha kama tulivyoambiwa; itakuwaje siku kama kutakuwa na tishio la njaa la kweli. Siyo kwamba ndugu zetu waliolia "njaa njaa" wakawa kama yule mtoto wa kwenye simulizi la Hisopo aliyelia "mbwa mwitu mbwa mwitu" kwa sababu tu alikuwa ameboreka wakati anachunga kumbe hakukuwa na mbwa mwitu? Siku moja mbwa mwitu kweli akatokea na alia "mbwa mwitu!" watu wakadhani "ndiyo alivyo huyo" wakapuuzia?
Najisikia kukorofisha watu tu ili wahoji mambo makubwa zaidi yanayotishia taifa letu na vijana wetu kuliko vyeti vya Paul Makonda a.k.a Bashite Original.. or they say.
Kama hujaelewa kitu, omba ueleweshwe na sio kuleta ad hominem attacks. Hopeless!Huoni aibu unavyochanganya lugha kama limbukeni?
Huku njaa Ipo,debe la mahindi 25000,Hii ni Mbeya.Huwezi kuelewa lakini,UPO MAREKANI.
Mkuu...bahati mbaya, lkn ni ukweli usiofurahisha ambao inabidi, tuuseme....wenzetu wengine wengi, kadri wanavyojitahidi jenga hoja ya njaa ktk tanzania, ndio wanavyozidi thibitisha namna walivyo na ubongo wa kiwango sawia na panya......Hiyo ndiyo njaa kwa maoni ya baadhi ya watu mitaani na watafiti uchwara. Kabla hatujarudi studio kwa matokeo mengine zaidi kwa njia ya mtandao, naomba kutoa maoni yangu. Yaonekana bei ya mazao ya vyakula ikipanda, hiyo ni njaa. Sukari ilipopanda bei, hiyo haikuwa njaa. Kilo ya samaki ilipopanda bei kwa sababu ya rift valley fever, haikuwa njaa.
Maoni ya undani hebu tujadiliane. Mazao ya chakula kama Mpunga/mchele na mahindi hayaangaliwi sana na mpaka sasa hakuna anayeweza kunieleza bei halisi ya mazao hayo ni ipi, ili mkulima asipate hasara na mlaji asiumie. Kila mwaka wakati wa mavuno, mkulima ni kama anagawa bure mazao yake. November 2014 bei ya gunia la mahindi Sumbawanga liliuzwa TZS 8000 - 12000! Bei ya kishenzi kabisa! Walaji hawakusikiliza kilio cha mkulima, walikenua na wengine kusanga na kulisha nguruwe. Leo hii bei ya debe inapofikia 25000 watu walalama eti hiyo ndiyo njaa!
Serikali iliyopita iliwahi ruhusu uingizaji wa mchele wa nje kwa sababu tu kilo moja Dar ilifikia 2500. Mchele ukaingia na wafanyabiashara walionunua kwa mkulima na baadhi ya wakulima wakapigwa hasara.
We we panya ni bonge LA genius, panya tulize sisi watu wa sayansi bwana. Nyie Si hampendi challenge? Mnaamini ndio MZEE je ni akili ujinga huko?Mkuu...bahati mbaya, lkn ni ukweli usiofurahisha ambao inabidi, tuuseme....wenzetu wengine wengi, kadri wanavyojitahidi jenga hoja ya njaa ktk tanzania, ndio wanavyozidi thibitisha namna walivyo na ubongo wa kiwango sawia na panya......
Hamna lolote. Huu ni ulimbukeni uliokubuhu. Ningekuona wa maana kama ungeandika mada nzima kwa aidha Kiingereza au Kiswahili. Kuchanganya lugha ni sawa na kunajisi. Ninakuhakikishia huwezi kunisogelea kwa Kiingereza; ninakijua fika. Lakini huu ulimbukeni wa kuchanganya lugha siko huko.Kama hujaelewa kitu, omba ueleweshwe na sio kuleta ad hominem attacks. Hopeless!