API Gravity
JF-Expert Member
- Mar 15, 2016
- 658
- 765
Tuliopitia taaluma ya ualimu tunaelewa haya, unaweza kuharibu matokeo ya mwanafunzi hata wiki moja kabla ya mtihani kama hulifahamu hilo.Hivi kweli utapima utendaji wa mama Ndalichako au serikali ya awamu ya 5 kwenye elimu kwa kuangalia matokeo ya kidato cha nne 2016? Jiulize waliomaliza kidato cha nne mwaka 2016 walianza lini kidato cha kwanza na mama Ndalichako alikuwa wapi wakati huo au serikali ya awamu ya 5 ilikuwa na umri gani?
Lawama tuzitoe pia kwa haki ndugu zangu, tusubili baada ya miaka 3 au minne ya serikali ya awamu ya 5 ndipo tuanze kulaumu.
She's not a right person kwenye hiyo wizara, kama tunadhani atatenda makubwa mbeleni tuendelee kusubiri tu ili tuizike elimu yetu moja kwa moja.JPM asipomtumbua huyu bibi naomba uraia wa congo mara moja
tatizo huyu bibi na mkuu wake wa kazi ni chupa na mfuniko, wanasifiana ujinga mtupu...She's not a right person kwenye hiyo wizara, kama tunadhani atatenda makubwa mbeleni tuendelee kusubiri tu ili tuizike elimu yetu moja kwa moja.
Tatizo ni pale ambapo mtu ana misimamo inayokinzana na uhalisia kulazimisha mambo kwa kuona wengine hawako sahihi.
Suala la elimu ni wewe na familia yako, kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe, Serikali haiwezi ingia kwenye vichwa vya watoto wenu, kama watoto wenu vilaza sisi tufanye nini sasa, Ajira mlitaka kwa walimu wote Jk akawapa ajira leo mnalalamika elimu elimu, Wananchi kaeni na walimu vilaza na watoto wenu vilaza mkome kulaumu serikaliMaamuzi yake na watendaji wake wote katika wizara inayosimamia huduma za elimu nchini ndiyo majibu ya kidato cha NNE ya sasa.Hali si nzuri kabisa tofauti na miaka ya nyuma, walimu hawana ari na kazi, wanaingia darasani ili kuonekana wako makazini tu.
Wengine tulisema kuongoza Wizara ya elimu ni tofauti na kuongoza kitaasisi kidogo kama NECTA ambacho kipo chini ya wizara hiyo.
Hili suala la elimu linahitaji mijadala wa kitaifa kwa maneno ya Mh James Mbatia na sio kuamua haraka haraka tu bila kushirikisha wadau husika kwa kuhisi kua mtangulizi wako aliharibu hapo awali. Tukiendelea hivi baada ya miaka kadhaa tutakua na wasomi wachache nchi ambao kwa kiasi kikubwa ni matokeo ya awamu ya NNE ambayo ilionekana kubadili hali ya elimu nchini, ni kwamba tunarudi hatua nyingi nyuma kwa maneno ya mzee Jenerali Ulimwengu.
Yaami wewe ungekua ndiye mkuu wa shule, basi ni mkuu wa shule mlevi wa pombeSuala la elimu ni wewe na familia yako, kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe, Serikali haiwezi ingia kwenye vichwa vya watoto wenu, kama watoto wenu vilaza sisi tufanye nini sasa, Ajira mlitaka kwa walimu wote Jk akawapa ajira leo mnalalamika elimu elimu, Wananchi kaeni na walimu vilaza na watoto wenu vilaza mkome kulaumu serikali
Mkuu, naomba nikujibu kistaarabu na sio kwa matusi kama ulivyonitukana hapo juu maana unajua akili yako si timamu au ni mvivu wa kufikiria.MAHANJU
umenijibu hapo juu kuwa kuna mabadiliko waziri ameyafanya ktk sekta ya elimu yamepelekea ari ya walimu kuwa chini, wazazi kuwa sauti kuliko walimu na upungufu mkubwa wa walimu.
kafanya mabadiliko gani yaliyo shusha ari ya walimu? amepunguza mishahara?
mabadiliko gani ameyafanya waziri wa elimu yakapelekea walimu kupungua?
unaposema wazazi wana sauti kuliko walimu, una maana gani? kwako ww ulitaka walimu wasi simamiwe na wadau (wazazi)? unajua siri ya shule binafsi kufanya vizuri? kwa taarifa yako huko shule binafsi wazazi wana nguvu ya kumfukuza kazi hata mwalimu.
rais amesimamisha ajira mpya mpk hapo mchakato wa uhakiki wa wafanyakazi hewa utakapo kamilika. hata rais asinge simamisha, suala la ajira liko chini ya wizara ya utumishi.
sitaki kupoteza muda mwingi kumuelewesha mbumbu wa div 5. pole kwa ujinga uliyo mea akilini mwako unaishi kwa dhahania badala ya uhalisia.
dunia ya mabwege imeuzungukwa na majungu, mvua ya dunia hii ni mapovu toka vinywani mwao. hamia dunia ya wastaarabu.
Huwezi kufanikiwa kwa matamko, uongozi unahitaji busara, hekima na mshikamano. OverUmesema kweli Mkuu.
Ni aibu kwa Wizara ya Elimu yote na hasa Waziri ambae pale mwanzoni alikuwa anaongea sana kwa namna ya kubeza yaliyofanywa na watangulizi wake.
Sioni mikakati yoyote ya kututoa hapa elimu yetu hasa ya sekondari ilipofikia.
Mnaweza kubakia kusema Elimu Bure tu lakini haina ubora wowote.
Ungemtoa Mh. Mbatia ingekuwa vizuri kwani hana taaluma yaa elimu na wala haijui elimu. Kikubwa kawaaminisha watanzania wa upeo fulani kuwa anaijua elimu. Eti Tanzania haina Sera ya Elimu, ningemuelewa angesema Sera ya Elimu si nzuri ( kama yeye anaamini hivyo) lakini kusema hamna,. mara hamna mitaala!Maamuzi yake na watendaji wake wote katika wizara inayosimamia huduma za elimu nchini ndiyo majibu ya kidato cha NNE ya sasa.Hali si nzuri kabisa tofauti na miaka ya nyuma, walimu hawana ari na kazi, wanaingia darasani ili kuonekana wako makazini tu.
Wengine tulisema kuongoza Wizara ya elimu ni tofauti na kuongoza kitaasisi kidogo kama NECTA ambacho kipo chini ya wizara hiyo.
Hili suala la elimu linahitaji mijadala wa kitaifa kwa maneno ya Mh James Mbatia na sio kuamua haraka haraka tu bila kushirikisha wadau husika kwa kuhisi kua mtangulizi wako aliharibu hapo awali. Tukiendelea hivi baada ya miaka kadhaa tutakua na wasomi wachache nchi ambao kwa kiasi kikubwa ni matokeo ya awamu ya NNE ambayo ilionekana kubadili hali ya elimu nchini, ni kwamba tunarudi hatua nyingi nyuma kwa maneno ya mzee Jenerali Ulimwengu.
Wewe unachosha, unataka ujibiwe kitu gani?unajua huenda tatizo ni uelewa Mdogo wa mambo wala sio mihemko.jikite kwenye hoja MAHANJU, mbona unahamisha magoli? Au unasumbuliwa na ugonjwa wa kusahau sahau? soma maswali yangu hapo juu kisha uyajibu.