API Gravity
JF-Expert Member
- Mar 15, 2016
- 658
- 765
Hivi kweli utapima utendaji wa mama Ndalichako au serikali ya awamu ya 5 kwenye elimu kwa kuangalia matokeo ya kidato cha nne 2016? Jiulize waliomaliza kidato cha nne mwaka 2016 walianza lini kidato cha kwanza na mama Ndalichako alikuwa wapi wakati huo au serikali ya awamu ya 5 ilikuwa na umri gani?
Lawama tuzitoe pia kwa haki ndugu zangu, tusubili baada ya miaka 3 au minne ya serikali ya awamu ya 5 ndipo tuanze kulaumu.
Lawama tuzitoe pia kwa haki ndugu zangu, tusubili baada ya miaka 3 au minne ya serikali ya awamu ya 5 ndipo tuanze kulaumu.