Uko wapi uteuzi makini unaodaiwa kufanywa na Dr Magufuli?

Wakuu natanguliza salamu .

Kabla ya yote I declare my own interest kwamba mimi ni raia wa Tanzania wa kuzaliwa ( sikununua uraia ) , hivyo bila shaka yoyote ninayo haki ya kufuatilia viongozi wa nchi hii wanaoteuliwa na Mh Rais.

Hivyo basi nimejitokeza kwenye jukwaa hili lililojaa mafundi wa kila aina kutaka kujua huu umakini unaotajwa kwenye uteuzi ni upi hasa ?

Wote mmeona Baraza la Mawaziri zaidi ya nusu wametoka awamu iliyopita , ile awamu inayolalamikiwa kuozesha nchi hii , Makatibu wakuu wengi ni walewale akiwemo sifuni Mchome aliyeshirikiana na Kawambwa na Mulugo kuleta Div 5.

Wakuu wa mikoa na ma DC's wengi ni wale walioshindwa kudeliver mahali pengine , wakiwemo walioangushwa kwenye ubunge.

Kwenye MA DED , DAS na hata wenyeviti wa Bodi mbalimbali sina la kuongeza nadhani kila mtu amejionea .

Ni kweli kwamba watu wameteuliwa na ni haki ya mamlaka kuteua wawatakao , lakini hii hoja kwamba uteuzi huu ni makini ukweli wake uko wapi ?

Great thinker tunaomba muweke ukweli hapa maana wateule wote mnawajua .
...uko wapi uteuzi makini uliofanywa n.a. Mbo***
 
Huuu ni utumbo wa kuku! Labda wewe uwe wa kwanza kuonesha hapa ni mtu gani alikosewa kuchaguliwa na kwa vigezo vipi Bawacha?

Hivi uteuzi makini ni Wa kumchagua Lowasa na Sumaye?

Hebu twambie ni wizara gani au sehemu gani Rais amekosea kumchagua mtu fulani na useme alitakiwa kuwa nani na kwa vigezo gani?

Serikali yote ya Magufuli imejaa watu makini ambao tukianza kutaja sifa zao hapa ni kupoteza muda...!


Mnakazi moja ya kukosoa..tuu lakini mkipewa nafasi ya kuchagua mnajikuta mnachagua wana CCM.
Wee jamaa kama na wewe unalipwa 2000/- watakuwa wanakuonea , uongezwe pesa aisee .
 
G
Unaweza kujiona mjuaji kumbe ni bure kabisa! Unazijua sifa za mtu kuwa mwenyekiti wa Bodi ya Parole?

Moderator , Invisible ule uzi uliokuwa unaeleza sifa za mtu kuteuliwa kuwa mwnyekiti wa Bodi ya Parole pamaja na kuhoji kama Mrema ana sifa za kuteuliwa kuwa mwenyekiti wa bodi hiyo wa chinchilla coat msingeungaanisha kabisa.
Mkuu mbona unachanganyikiwa mapema? Kwanza nimezungumzia uteuzi was MaDED na jinsi Rais alivyopitia majina aliyopelekewa ili kujiridhisha kwamba walioletwa kwake kwa uteuzi wanakidhi matakwa na matarajio yake ili waweze jutekeleza mipango kwa maendeleo ya taifa.

Kuhusu uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Parole pamoja na kuwepo sifa za anayestahili kuteuliwa hakuna mahali popote panapomzuia Rais kufanya vinginevyo endapo ataona inafaa. Cool down guys mmeacha nchi imeenda lijojo tulieni iwekwe sawa!!
 
Back
Top Bottom