NILHAM RASHED
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 1,622
- 43
- Thread starter
-
- #21
jaman mbna mwatoa majbu ya kiswahil wenye taarfa watujuze! Mana this z the 1family.
Huko umangani anakoishi nilham kulikuwa na vuguvugu la mapinduzi hivyo mara chacha kuwa ktk jf!!
Huwa wapo mida fulani
huyu mchungaji ban yake haijaisha tu?
basi tu nimetokea kutokummiss sometimes it is blood chemistry factor.hehehehe alikufanyaje kwani jamani!!!!shossi wa watu??
Nawe ulipotelea wapi bibie Nilham?
basi tu nimetokea kutokummiss sometimes it is blood chemistry factor.
Na hata wewe uliadimika sana na wengi walikumiss. Mm nimefurahi na namshukuru Allah umerudi.nammiss sana sana hashycool..
mohamed shossi
michelle hivi hawa watu walipoondoka waliacha salam gani jamani yaani wallah leo tangu nilipoamka majina yao yamenikaa kichwani jamani mwazijua habari zozote kuhusu wao??? miss them alot wallah,,,
Na hata wewe uliadimika sana na wengi walikumiss. Mm nimefurahi na namshukuru Allah umerudi.
huyu mchungaji ban yake haijaisha tu?
Si vizuri kuondoka kimyakimya jamani...mi niliamua kuwa guest,,,nilikuwa nikiwasoma tuu my dear vipi akhbar zako lakini nakutamani na post zako nzuri
naanza kujisikia kawaida towards Shossi, i hope u gonna be a good mod in "reconcilliatin chember"so sijui ulijificha wapi nikateswa na my blood chemistry.hehheeehhee usifanye hivyo jamani ushantia na mie wasi wasi isije siku ukanambia blood chemistry imekwambia unichukue,,,heheheh tutapambana na hiyo blood chemistry ntakupeleka hospital nikaibadili,,,hehehehheloool!!!
Huko umangani anakoishi nilham kulikuwa na vuguvugu la mapinduzi hivyo mara chacha kuwa ktk jf!!
sijaamini bado kama nimekuona mwera na we pia wallah ulipotea kushinda mie watokea wapi kwani??Hata wewe habibt maa qalbi nilham assoud ayoun ulipotea sanasana,na pia nammiss sanasanasana mkwewangu masanilo,jela ya jf ameshatoka ila naona kaamua kususia jumla hili jamvi.
Si vizuri kuondoka kimyakimya jamani...
naanza kujisikia kawaida towards Shossi, i hope u gonna be a good mod in "reconcilliatin chember"so sijui ulijificha wapi nikateswa na my blood chemistry.