Ukiwatoa wabunge, Wahadhiri wa Vyuo Vikuu vya Umma ndio wanalipwa mishahara mikubwa

kukumsela

JF-Expert Member
Oct 13, 2018
725
916
Mwalimu wangu profesa mmoja akiwa anatoa mhadhara alisema yeye anazidiwa mshahara na mbunge pekee tofauti na hapo hakuna kada nyingine hapa Tanzania yenye mishahara minono.

Mwisho mwalimu(profesa) akatushauri tusome kwa bidii tufanye kazi katika vyuo vikuu ili tupate ujira mnono(mlima)
 
Uzuri wa kuwa mhadhiri ni namna ambavyo kazi inakupa muda wa kufanya mambo yako fresh, tofauti na hizi kazi zingine za ofisini, na pia hiyo kada huwa ina vikao vikao vingi ambavyo vina posho uchwara za kucheba tu hivyo ukiingia, kuna unafuu mkubwa
 
Sio kweli

Kuna mashirika ya uma kibao staff wao wana elimu ndogo kuliko ma professor ila wanalipwa mishahara mikubwa kuliko hao maprofessor

Magufuli alivyoongelea mishahara ipunguzwe ni sababu aliona watu wanakunja hela kweli kweli kwenye mashirika ya uma
Mashirika gani mkuu ?

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
 
Mwalimu wangu profesa mmoja akiwa anatoa mhadhara alisema yeye anazidiwa mshahara na mbunge pekee tofauti na hapo hakuna kada nyingine hapa Tanzania yenye mishahara minono.

Mwisho mwalimu(profesa) akatushauri tusome kwa bidii tufanye kazi katika vyuo vikuu ili tupate ujira mnono(mlima)
Na yeye hatakuwa ameelimika ...hatuwezi kufanya kazi sehemu moja au kazi moja wote kuna DIVISION OF LABOUR aache uzwazwa.
 
Mwalimu wangu profesa mmoja akiwa anatoa mhadhara alisema yeye anazidiwa mshahara na mbunge pekee tofauti na hapo hakuna kada nyingine hapa Tanzania yenye mishahara minono.

Mwisho mwalimu(profesa) akatushauri tusome kwa bidii tufanye kazi katika vyuo vikuu ili tupate ujira mnono(mlima)
Na wanaodai wametolewa jalalani walimaanisha nini?
 
Back
Top Bottom