Ukitongoza msichana wa siku hizi jipange

Hahah me kila siku kwangu ni valentine, si unajua wafilipino ni mahabati mwanzo mwisho. Ila lazima ntafanya kitu fulani hivi amazing sana

Hahah..mate yananijaa hapa kuijua hiyo amazing yako maana itakua amazing kweli japo kuna ile nyingine pia naiandaa kama team wafilipino hahaha wacha mahaba yatuuwe tu sisi!
 
ha ha ha.. kama kweli.. kuna mtu analalamika kamzingua suster du kwenye harusi. kesho yake tu kawekwa profile picture watsup my huby.. kaka zake demu na dada zake demu wote wamemjua plus marafiki wa sister du nao wanawish happy relation kwa profile pic ya shemeji yao...

jamaa alijutaaa
Hahahahaaa....... Hapo lazima ujute.
 
1454931791350.jpg
mdomo siasa uchawi shekeli
1454931791350.jpg
 
majira yamebadilika mkuu,sio kila homa ni malaria hahahahah
Wabari Wakuu!

Maisha yetu yanazidi kubadilika kila kukicha, kuna mambo hapo mwanzoni hayakuwepo na kuna mengine pia yalikuwa yanatokea. Uolewaji wa wanawake katika jamii zetu kwa kipindi cha nyuma ulikuwa ni wa kufuata maadili na misingi ya jamii.

Kadri ya ulimwengu unavyozidi kwenda ndio na mambo yanazidi kubadilika, mfano uchumba wa siku hizi sio dili tena kama zamani. Watu wamekuwa wakitumia neno uchumba kwa lengo la kupata kile wanachokitaka, maana inaaminika uchumba ni hatua kubwa inayofikiwa na wapenzi kabla ya ndoa.

Siku hizi ukimtongoza mwanamke anakuwa mwepesi sana wa kuhalalisha mahusiano yenu yawe wazi, hata kama mwanaume huna mpango wa kumuoa tayari wao wanakuwa wanaonyesha dalili zote za kutaka kuolewa.

Wanaume wengi hata humu JF wamekuwa wakilalamika kuhusu hichi kitu. Sijajua hasa tatizo ni nini mpaka wanafikia katika hatua hiyo, ukimtongoza binti leo kesho tayari hata ndugu wameshajua.

Hebu tujadili hili jambo kwa pamoja.
 
Hahah..mate yananijaa hapa kuijua hiyo amazing yako maana itakua amazing kweli japo kuna ile nyingine pia naiandaa kama team wafilipino hahaha wacha mahaba yatuuwe tu sisi!
Hahaha mahaba tuue, tuponde ponde kama nyanya. Ntakutumia video ili umeze mate vizuri. Teh fanya vitu amazing kwa ajili ya wafilipino wote
 
Hahaha mahaba tuue, tuponde ponde kama nyanya. Ntakutumia video ili umeze mate vizuri. Teh fanya vitu amazing kwa ajili ya wafilipino wote

Hahah....hata nyanya naiona kama bado sijui yatuponde ponde tubaki kama nini....hiyo video sasa ikuje haraka tuu maana ulivyo deep hahaha...maandalizi yangu huku ni oyooooh!!
 
Hahah....hata nyanya naiona kama bado sijui yatuponde ponde tubaki kama nini....hiyo video sasa ikuje haraka tuu maana ulivyo deep hahaha...maandalizi yangu huku ni oyooooh!!
Aah niache bana, ntaanza kusmile bure kabla ya tukio lenyewe teh teh
 
Hayo yanatokea zaidi katika nchi kama yetu ambapo wanawake ni wengi kuliko wanaume. Na wanawake wengi wanaumia kwa kuwa single. Ndio maana Algeria na Eritrea, nchi ambazo zinasifika kwa kuwa na wanawake wazuri na warembo kabisa barani Afrika, wanaume wao wanalazimishwa kuoa wanawake wawili wawili.....!!

Kwa hiyo kutongozwa ni bahati siku hizi, achilia mbali kuoelewa !!! Waelewe tu!
 
haya mambo yakutongoza mademu nimeiona hata mimi aisee juzijuzi tu hapa nilimtokea demu mmoja hivi tukapiga swaga za hapa na pale tukaachana kesho yake demu yule ananipigia simu ananiuliza bby uko wapi mi nina hamu sana leo duuu mi nikajifanya sijamwelewa una hamu ya nn? akajib yaani kwa jinsi tulivyoongea jana nilivutiwa sana na maongezi yako njoo basi leo tuonane, basi mwanaume nikajivuta zangu kwenda alipo kufika tu hivi ananikumbatia nakuniambia mpenzi twende tukapumzike nataka ile kitu yako bana nahisi ni tamu sana heeeee mi nikashangaa sana baadae nikampotezea coz sikuwa na mzuka wowote wakusex nikasepa zangu bassiiii demu kesho yake alinilaumu kweli akidai kwamba hutaki mm niolewe na wewe jamani? ndo mambo hayo ya kisasa wenzetu wanataka ndoa za haraka haraka ka maharage ya mbeya...
 
Teh teh..Ila ukipata msichana anayetaka kutambulishwa home ujue huyo anajielewa kidogo..Wanawake waruwaru kuwapeleka home inabidi ufanye kazi ya ziada aisee

Haha broo waruwaru home wafuate nin?

Siku hizi wana swaggz flan wote hobbies zao ni "travelling" so atataka umpeleke Serengeti na Ngorongoro kidogo Zanzbar Kilwa na shopping Dubai hahah...
 
Haha broo waruwaru home wafuate nin?

Siku hizi wana swaggz flan wote hobbies zao ni "travelling" so atataka umpeleke Serengeti na Ngorongoro kidogo Zanzbar Kilwa na shopping Dubai hahah...
Teh teh...Wana hobby za ajabu ajabu hawa..Cha msingi ni kujitoa ufahamu tu na ww..Kuna mmoja aliniambia hobby yake ni kuteleza kwenye barafu..Jibaba nikachoka
 
Teh teh...Wana hobby za ajabu ajabu hawa..Cha msingi ni kujitoa ufahamu tu na ww..Kuna mmoja aliniambia hobby yake ni kuteleza kwenye barafu..Jibaba nikachoka

Hahahah...huyo aliuwaa barafu zipi kwa mfano hapa kariakoo...?

ungechoka zaidi valentine hii angetaka umpeleke pale paris kwenye ile eiffel tower:D:D
 
Back
Top Bottom