Ukitaka kuoa au kuolewa usukumani, yajue haya

Great minds discuss issues. Small minds discuss tribes. Uko sahihi. Lakn bado uko katika karne ya 10.
No matter how far you.. Remember where you coming from.
Usiwe mtumwa wa maarifa ya kimagharibi.
Mkataa kwao ni mtumwa..
 
Uchawi, ndio tabia yao kubwa.
Kufuga fisi na kuwa na mamba kwa maeneo ya ukerewe na Chato
hahahaaaa!! Chato kwa mamba ni hatari sana, huku ukerewe ninaendelea na research, wengi ni wakerewe & wajita, mamba huwa wanatokea mara chache na wanakuwa wa kichawi!
 
No matter how far you.. Remember where you coming from.
Usiwe mtumwa wa maarifa ya kimagharibi.
Mkataa kwao ni mtumwa..
Don't be ridiculous. Kila mtu akija kujadili kabila lake humu, tutaelewana vipi? Tutabaki kweli watanzania, au tutaendelea kuwa Wasukuma, Wanyakyusa, Wachagga, Wajaruo, n.k??
 
Kwa nini husemi kuwa amani ya nchi hii inashikiliwa na wasukuma sababu ya upole na mafundisho tunayoyapokea toka kwa mababu zetu. Ukiishi kwenye familia ya kisukuma kwa muda mrefu hata kama ni mkimbizi lazima upate stahiki sawa na watoto wa familia au ukoo huo.
Tatizo lako unachanganya mambo hapa, mimi siko hapa kuchafua au kutetea mila na tamaduni za wasukuma bali kuweka sawa tu baadhi ya Facts ambazo mleta mada hakuzisema.

Turudi kwenye hilo la Amani ya Tanzania. Ukweli ni kwamba hapa Tanzania tuna utulivu tu lakini sio kwamba tuna Amani ya Ukweli. Tunajihisi tuna Amani kwa sababu tunajilinganisha na nchi zingine za jirani ambazo zimepitia kwenye vita na machafuko.

Je, hiyo 'Amani' inaletwa na kabila la wasukuma?
Jibu ni hapana. Kwa sababu zifuatazo....
1/Tanzania ina zaidi ya makabila 120 tena yakiwa kwenye kanda tofauti zaidi ya nne, hakuna kabila linaloweza kutawala kiutamaduni kanda zote hizo nne.

2/Tanzania ni nchi ya kisiasa zaidi kuliko kikabila, kila linatokea na kuwaathiri watanzania wote linatokana na siasa au Dini lakini sio mila fulani ya kabila moja.

3/Takwimu rasmi za serikali zinaonyesha matukio makubwa ya kijamii na kitamaduni yanayo hatarisha Amani ya nchi yetu yametokea kanda ya Ziwa(Eneo ambalo Kabila la Kisukuma limeenea). Kwa mfano, Mauaji ya vikongwe wanaohisiwa kuwa ni washirikina, Mauaji ya Albino, Mauaji na mateso yanayotokana na unyanyasi wa kijinsia, Vitendo vya Ubakaji, Vikundi vya Kijadi vinavyojichukulia sheria mkononi nk.
 
Inafurahisha sana kuona comments za watu baadhi wakichukulia mkuu wa kaya kama ndio geniune epitome ya wasukuma.
 
1. Wasukuma ni kabila kubwa kuliko yote Tanzania. Mikoa ya Simiyu, Tabora, Shinyanga, Geita, Mwanza kote huko ni usukumani.

2. Usukumani siyo lelemama, kuna Kazi nyingi kama kushinda shambani, uvuvi, kushinda machimboni ,ikiwemo kutunza maelfu ya mifugo hasa Ng'ombe etc
waambie pia kuwa wasukuma hawakati magovi. na wakifika mjini ni washamba wanapigwa sana pesa na wanawake weupe. wengine wanawapangishia majumba malaya makongo, wanawatongoza kina wema na kina kajala wakati ana mke nyumbani mzuri tu. na mke hatakiwi kuuliza.
 
Back
Top Bottom