Ukitaka kumtosa mwanaume mpige kizinga tu

hiyo ni kweli...Kuna demu wangu mwaka jana alinipiga mzinga wa jero ya vocha nikam blacklist, siku ya mwaka mpya kwa kutumia namba nyingine akaniambia amejua kosa lake nkamwambia haina shida aende tu maana kunipiga mzinga mimi ni sawasawa na kutishia usalama wa maisha yangu.


Ha ha ha, wewe jamaa ni hatari mno
 
Back
Top Bottom