DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 18,722
- 47,513
Ukiwa Kama kijana Una umri kianzia 18 yrs ili usizeeke Mapema na uzeeke ukiwa katika ubora wako tumia hii njia .
Waangalie wazee wenye umri mkubwa kuanzia 70 yrs then utazame wanaishije then na wewe Apply hiyo lifestyle.
Maana yake ni nini
Kuwa na tahadhari Kama Wazee
Punguza nights out
Bangi na sigara
Pombe acha au kunywa kwa kiasi
Ngono kwa mbali mbali Sana .
Punguza stress
Usijichosehe kwenye kugonoka.
Usisubiri umri uende ndo uanze kuzingatia good lifestyle.
So embrace perspective ya uzee kipindi ukiwa kijana mdogo hii ndo mbinu huwa naitumia tangu nipo 18 yrs.
Faida zake
Huwezi kuwa broke easily
Financial freedom
Afya imara inajengeka.
Unakuwa humble Sana with wisdom
Unakuwa informative and insightful.
All the best .