Ukipata nafasi ya kuzungumza na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, utapenda kumwambia nini?

Nitamwambia akumbuke ya Habib Mchange.
Kwa Kiswahili asili inaitwa "irada".

Habib Mchange alielezea "kama tu dinu tu dani".

Wengine huielezea kama "what goes around comes around".

Wale wasiojijuwa na waabudu sanamu huiita "karma".

Tumkumbushe tu kuwa wale waliochapwa magari yao nao Mungu anawasikia vilio vyao.
Uislam unasemaje kuhusu dhana?
 
Nitamwambia yule aliyemwona kwenye maono yake na Mimi nimemuona na atapatwa na kile kilichokusudiwa siku sio nyingi.
 
Back
Top Bottom