Ukiondoa azam na dstv ni king'amuzi gani bora kati hivi vifuatavyo?

Kweli kwa hapa Tanzania naona only DSTV, nilianza na starTimes holaa, nikanunua Ting hola, nimenunua Azam decoder nayo soon naipiga chini wanabadilisha channel ovyoo, mvua ikinyesha mnabakia kutizamana... michanel isiyo na maana kibao daaah, hii nchi kweli wizi kila kona.
hii nchi bado sanaa
 
Mnanifanya niamini kwamba nipo pahala sahihi
Basi sawa sihami DSTV ushuhuda huu unanitosha maana nimekuwa niktamani sana kuhamia Azam lakini channels za documentary kama NaoGeo na zingine nyingi nikawa nasita
 
Kweli kwa hapa Tanzania naona only DSTV, nilianza na starTimes holaa, nikanunua Ting hola, nimenunua Azam decoder nayo soon naipiga chini wanabadilisha channel ovyoo, mvua ikinyesha mnabakia kutizamana... michanel isiyo na maana kibao daaah, hii nchi kweli wizi kila kona.
mvua ikinyesha tu basi starehe kushney! hapo wanasayansi wanasemaje?
 
Back
Top Bottom