Ukiona unateuliwa na Rais au Chama halafu Unahamishwa hamishwa jua una sifa hizi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,928
119,084
1. Huna Uwezo wa Kiutendaji

2. Huna Akili

3. Utakuwa unabebwa mno

4. Una God Fathers wanakulinda

5. Mshirikina, Muongo na Mbea

6. Unatumika / Chawa wa Aliyekuzaa

7. Siku zako za Kuumbuka na Kudhalilika haziko mbali

Tunakumbushana tu kuwa Kesho Ijumaa tunaanza na Yanga SC Saa 3 Usiku kisha Saa 5 Usiku tunamalizia na Simba SC.

Walioenda South Africa wameenda na Waganga wa Kienyeji 17 na Walioenda Egypt wameenda na jumla ya Waganga wa Kienyeji 23.

Kazi ipo.....!!
 
kuteuliwa na kuhamishwa idara au wizara mara kwa mara,bila kutenguliwa ni ishara wew ni potential, ni chachu ya changes🐒

na kwahivyo unatumwa maeneo tofauti tofauti kwenda kusisimua na kuchochea umahiri na kuamsha waliolala wachape kazi zaidi, na si vinginevyo 🐒

nawatakia Simba na Yanga ushindi mnono huko huko ugenini, setbacks wishes za wachache, ziwasaidie kuwa bora na imara zaidi uwanjani 🐒
 
1. Huna Uwezo wa Kiutendaji

2. Huna Akili ( Mpumbavu )

3. Utakuwa unabebwa mno

4. Una God Fathers wanakulinda

5. Mshirikina, Muongo na Mbea

6. Unatumika / Chawa wa Aliyekuzaa

7. Siku zako za Kuumbuka na Kudhalilika haziko mbali

Tunakumbushana tu kuwa Kesho Ijumaa tunaanza na Yanga SC Saa 3 Usiku kisha Saa 5 Usiku tunamalizia na Simba SC.

Walioenda South Africa wameenda na Waganga wa Kienyeji 17 na Walioenda Egypt wameenda na jumla ya Waganga wa Kienyeji 23.

Kazi ipo.....!!
Habari ya kinoko na umbeya anayeweza kuiandika si mwingine lazima awe mwana
Yanga aka Churaaaaaa.
 
Matatizo ya uongozi huanzia kwenye elimu fake, ukikuta mtu hana elimu au kafoji vyeti au IQ ndogo sana au tokea huko nyuma alikuwa na matatizo mengi ya taaluma yake, ukimpa uongozi utaona sasa ule umbumbumbu au ukihiyo wake na hawezi kudumu kuongoza kokote kule..!!

Sabaya ni hivyo, na Makonda ni hivyo na Mbowe ni hivyo..!!
 
1. Huna Uwezo wa Kiutendaji

2. Huna Akili ( Mpumbavu )

3. Utakuwa unabebwa mno

4. Una God Fathers wanakulinda

5. Mshirikina, Muongo na Mbea

6. Unatumika / Chawa wa Aliyekuzaa

7. Siku zako za Kuumbuka na Kudhalilika haziko mbali

Tunakumbushana tu kuwa Kesho Ijumaa tunaanza na Yanga SC Saa 3 Usiku kisha Saa 5 Usiku tunamalizia na Simba SC.

Walioenda South Africa wameenda na Waganga wa Kienyeji 17 na Walioenda Egypt wameenda na jumla ya Waganga wa Kienyeji 23.

Kazi ipo.....!!
Hao waganga wote wameshafeli
 
Sawasawa!
 
mzee ramadhan ni mtaalam wa nyota biashara mali bira kafara mausiano cheo nk 06786637691. Huna Uwezo wa Kiutendaji

2. Huna Akili ( Mpumbavu )

3. Utakuwa unabebwa mno

4. Una God Fathers wanakulinda

5. Mshirikina, Muongo na Mbea

6. Unatumika / Chawa wa Aliyekuzaa

7. Siku zako za Kuumbuka na Kudhalilika haziko mbali

Tunakumbushana tu kuwa Kesho Ijumaa tunaanza na Yanga SC Saa 3 Usiku kisha Saa 5 Usiku tunamalizia na Simba SC.

Walioenda South Africa wameenda na Waganga wa Kienyeji 17 na Walioenda Egypt wameenda na jumla ya Waganga wa Kienyeji 23.

Kazi ipo.....!!
mzee ramadhan ni mtaalam wa nyota biashara mali bira kafara mausiano cheo nk 0678663769
 
1. Huna Uwezo wa Kiutendaji

2. Huna Akili ( Mpumbavu )

3. Utakuwa unabebwa mno

4. Una God Fathers wanakulinda

5. Mshirikina, Muongo na Mbea

6. Unatumika / Chawa wa Aliyekuzaa

7. Siku zako za Kuumbuka na Kudhalilika haziko mbali

Tunakumbushana tu kuwa Kesho Ijumaa tunaanza na Yanga SC Saa 3 Usiku kisha Saa 5 Usiku tunamalizia na Simba SC.

Walioenda South Africa wameenda na Waganga wa Kienyeji 17 na Walioenda Egypt wameenda na jumla ya Waganga wa Kienyeji 23.

Kazi ipo.....!!
We mzee
Utawaua watu kwa presha🤣
 
Hao waganga ni nuksi na mkosi hawana wanachokifanya, mpira unachezwa kiufundi/kisayansi na hauchezwi kichawi. Watimuliwe na wasiwepo klabuni ni aibu kutegemea ushirikina kupata ushindi michezoni
 
Matatizo ya uongozi huanzia kwenye elimu fake, ukikuta mtu hana elimu au kafoji vyeti au IQ ndogo sana au tokea huko nyuma alikuwa na matatizo mengi ya taaluma yake, ukimpa uongozi utaona sasa ule umbumbumbu au ukihiyo wake na hawezi kudumu kuongoza kokote kule..!!

Sabaya ni hivyo, na Makonda ni hivyo na Mbowe ni hivyo..!!
Kwa taarifa ysko,elimu inamchango mdogo sana ktk masuala ya uongozi.
 
1. Huna Uwezo wa Kiutendaji

2. Huna Akili ( Mpumbavu )

3. Utakuwa unabebwa mno

4. Una God Fathers wanakulinda

5. Mshirikina, Muongo na Mbea

6. Unatumika / Chawa wa Aliyekuzaa

7. Siku zako za Kuumbuka na Kudhalilika haziko mbali

Tunakumbushana tu kuwa Kesho Ijumaa tunaanza na Yanga SC Saa 3 Usiku kisha Saa 5 Usiku tunamalizia na Simba SC.

Walioenda South Africa wameenda na Waganga wa Kienyeji 17 na Walioenda Egypt wameenda na jumla ya Waganga wa Kienyeji 23.

Kazi ipo.....!!
Wewe mbumbumbu tu, kuna saikolojia ya mtu uliyeanzisha vita nae inakutoa kwenye reli na kukuumiza mpaka saivi mpuuzi mkubwa wewe. Eti una saikolojia kubwa labda za ya kufowadi sms za kitapeli mwanaharamu wewe
 
1. Huna Uwezo wa Kiutendaji

2. Huna Akili ( Mpumbavu )

3. Utakuwa unabebwa mno

4. Una God Fathers wanakulinda

5. Mshirikina, Muongo na Mbea

6. Unatumika / Chawa wa Aliyekuzaa

7. Siku zako za Kuumbuka na Kudhalilika haziko mbali

Tunakumbushana tu kuwa Kesho Ijumaa tunaanza na Yanga SC Saa 3 Usiku kisha Saa 5 Usiku tunamalizia na Simba SC.

Walioenda South Africa wameenda na Waganga wa Kienyeji 17 na Walioenda Egypt wameenda na jumla ya Waganga wa Kienyeji 23.

Kazi ipo.....!!
Mimi nitoe kwani nilirudia Tunduma baada ya hirizi moja tulipofika Mbozi ilianza kuchezacheza sana na kupumua kwa nguvu. Ni wazi ilipata onyo toka kwa Sangoma wa huko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom