ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Jitahidini kumdanganyaHAHAHAHAHAHA ... Huyo Mwanamama ni kiboko yao...... Alewanyoosha hawana hamu kabisa. Walizoea kubembelezwa NA "Bibi" Makinda........!
Jitahidini kumdanganyaHAHAHAHAHAHA ... Huyo Mwanamama ni kiboko yao...... Alewanyoosha hawana hamu kabisa. Walizoea kubembelezwa NA "Bibi" Makinda........!
Mpinzani wako huwa ni adui , hata kwenye mpira upande wa pili ni adui kwa mchezo, tatizo neno adui mmelichukulia kama adui wa kuuana au kupigana, hadui katika maslai ya anachokifanyaJe huyu adui anaezungumzwa hapa ni nani? Hakika kuna sababu ya kutafakari maneno ya mkuu wa nchini. Yamekaa kivijembe sana na hayafai kutolewa na kiongozi wa nchi.
Hivi unapokuwa mpinzani au ukawa ndio unakuwa mvivu wa kufikiri na kuelewa mambo kama huyu au hili ni tatzo la huyu jamaa peke yake?..."Ukiona unashangiliwa na adui, rudi nyuma
ujiulize umekosea wapi? na ukiona unasemwa
semwa na adui ujue umewatwanga." Rais JPM.
MY TAKE;
1. "Kikulacho ki nguoni mwako, na adui
mkubwa wa nchi hii unalala naye, unaamka
naye na unakwenda kumpokea rasmi
Dodoma". NOTE, adui mkubwa wa nchi hii ni
kile chama anachoenda kukabidhiwa.
2. Maadui wakuu wasaidizi wa nchi hii ni
Ujinga, Maradhi na Umasikini. Sijasikia
malalamiko ya mabwana hawa (Ujinga,
Maradhi na Umasikini) kwamba
wanatwangwa sana. Sijui hadi sasa Rais
anaongelea maadui wepi?
3. Na kama anamanisha maadui ni wapinzani
asisahau kua upinzani huo ni zao la katiba
hivyo kwa maana nyingine katiba na sheria
za jamhuri ndio iliyoweka adui huyo.
4. Na kama kwake upinzani (uliopo kisheria)
ni uadui basi atakua ni hatari sana kwa
kiongozi huyu kwa msatakabali wa
democrasia (uadui kwa mtazamo wake) hapa
nchini.
Just wait and watch the show my dear brother
and Mr. President.
Mtatiro J