jmdume45
Senior Member
- Jun 10, 2016
- 162
- 67
Hivi kwann wanawake wamekuwa ni viumbe wagumu sana hapa duniani... Maana anaweza kulia kumbe anaumia, akicheka kumbe anafurahi... Akafurahi kumbe amekasirika..
Huwezi kumfifaini mwanamke hata siku moja...
Na hilo jambo lililokukuta ndugu yangu... Hilo jambo mlilokuwa mnafanya ilikuwa ni bongo muvi hakuna reality kutoka kwa huyo mgegedwaji..