Manuscript
Member
- Jun 5, 2016
- 42
- 27
Nimepotea njia.
Hata mtu kutupia picha zake hapa JF ni kutafuta Kik pia!mmmh
kik mwenyewe simuoni.Hata mtu kutupia picha zake hapa JF ni kutafuta Kik pia!
Loooh!!Hahaha kausha basi Binamu wasisikie, unataka kuniharibia tena..
Professional!, kisa kushinda jfMa pro ni wale members wa siku nyingi yaani wameshakuwa ma professional.
kiki JF halafu ukapige show wapi ili upate mshiko.acha bangi wewe1. Post haihusu mapenzi wala mahusiano anaipeleka jukwaa la MMU. Basi tu ili mradi watu waisome na wamuone.
2. Anapenda kuzua ubishi kwenye thread za watu kwa jambo lisilo na ubishi ili mradi aonekane na yeye basi yupo na watu wamjue.
3. They always go against the trend. Unakuta thread inahusu maloveee anatokea mwehu ana comment "JK FISADI" ili mradi watu wa pay attention.
4. Wanapenda kujidai wanawafaham na wanamazoea na wale members ambao ni ma pro. Utaona tu kaandika comment halafu anajidai kum tag Nyani Ngabu, The Boss, lara 1, Bitoz, Valentina, miss chagga, faiza Fox..... Ndugu yangu wewe Id yako yenyewe ya juzi halafu unajidai eti unawafaham ma pro wa JF... unatafuta kiki.
5 Kila thread lazima acomment hata kama hana cha maana cha kuandika na haimuhusu.
6 Kama ni mwanaume basi atataka aonekane yeye Handsome boy matawi ya juu na kama ni ke basi atatafuta namna tu kwenye comment zake ajioneshe yeye wa moto na ni girl wa ukweeee, kumbe hamna kitu.
Embu ongezeeni nyingine tuwanange watafuta kiki wote wa JF....
Kuna mahali nimesema kuhusu kushinda jf? acha kuropokaProfessional!, kisa kushinda jf
Bora niache kugegeda ila sio bangi.... weeeee thubutuukiki JF halafu ukapige show wapi ili upate mshiko.acha bangi wewe
Umegusa sehemu nyeti..!Jina lako lina utata kama mtafuta kiki
Baba yako
Ataweka ID ya ajabu ili ku "catch" attention za wanajukwaa... Mfano Naantombe Mushi
Nafikiri hata wewe hapo unatafuta KIKI