Ukiona mpenzi/mke wako ukimwudhi anakimbilia kukunyima tendo la ndoa usiumize kichwa

yaan hapa ndo mnapokosea Na kuona mnafanyiwa kusudi ,,hichi kitendoo Ni very emotional,,kibahitaji maandalizi mengi ya akili ,,sasa nyie mnatibua alaf out of the blue u want my papuchi kwanini usinyimwe?? Maandalizi muhimu bwan especially mental
Unabahati tu ungekuwa wangu ungengongwa na hasira zote potea kbs utaanzaje kusema sikupi
 
Akikunyima,unaisusa tu kama mwezi hivi,then unatishia kutafuta mke mwingine,unamuagiza nduguyo kwa sauti kwenye simu akutafutie mke mwingine,huku yeye anasikia.
Wewe bado mtt ukikua utajua unachokiongea Leo
Sasa sijui itakuwaje naye atakapompigia shost ake akamwambia amtafutie mume na ww unasikia kbs
 
Iko tabia kwa watoto wa kike wakikerwa au kuudhiwa na wapenzi wao silaha yao kubwa ni kunyima uchi.Tabia hii si njema hata kidogo.

Wanaume wengi hutafuta michepuko kutokana na tabia kama hizo za kunyima nyima uchi kisa kuna kitu hakijaenda sawa.wengine hulala na jinsi ili usimguse. Wanawake msiwe hivyo mnatupa mtihani mkubwa na ni kishawishi kikubwa cha kutafuta mbadala.
c719f835b1b0a3677467258e55870b8f.jpg
e6ae9aa6068e3623d26a3c67aa40e8da.jpg
 
Back
Top Bottom