Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,165
- 16,770
Nadhani wachambuzi wa mambo ya psychology watusaidie kujua mpambavu ni nani kati yako na mtoa mada kwa kutumia maandishi yenuShetani yuko kazini!
Hamjalazimishwa kuoa WALOKOLE, nendeni Bar, casino, madanguroni na sehemu nyingine kama hizo mtapata wake muwatakao.
Tuacheni sisi tuwaoe walokole.
By the way; Mungu hadhihakiwi, apandacho mtu ndicho atakachovuna.
Ukiwa kahaba utapewa kahaba mwenzako.
Ukiwa mlokole utapewa mlokole ... Nk
Hivyo Mungu hawezi kumrisk mwanae, binti/kijana mlokole kwa kumpa mwenzi mpumbavu kama mtoa mada.
Utapewa mpumbavu mwenzako.
Kwa wasomaji wa BIBLIA mnakumbuka habari za wanawake wacha Mungu kama Ruthu na Abigaili? Mmesoma namna Mungu alivyowaepusha na wanaume wapumbavu na kuwapa wanaume wampendao Mungu? Boazi & Daudi?
Asomaye na Afahamu.