Stephan Lichtsteiner
JF-Expert Member
- Sep 13, 2022
- 519
- 1,473
Ukiona konda anadai nauli anakwambia "hapo mjomba" badala ya "hapo braza"..
Ujue tayari mbingu ishatua
Ujue tayari mbingu ishatua
Mkuu ikikupendeza tuletee mada ya jinsi ya kukabiliana na upweke uzeeni.
Ukiona konda anadai nauli anakwambia "hapo mjomba" badala ya "hapo braza"..
Ujue tayari mbingu ishatua
Aisee!
Ni mbaya sana hii, nimezunguka kila duka, sijapata dawa ya ku-recover Nywele aise....Watu kutania wenye upaa walianza enzi za manabii Mkuu😀
Mbona Mimi sipendi vyote hivyo Toka nikiwa mdogo? Baba alibidi aninunukie redii niende nayo Sekondari maana nilikuwa napenda mambo ya habari habari wakawa wananiita dingi 🤣🤣Wakuu mpo Salama!
Kuna Watu hawajui kuwa namna uzee unavyoingia. Sio ajabu wameshaingia uzee lakini hajui au hawana uhakika.
Sasa hizi ni moja ya dalili kuu zinazoashiria kuwa unaingia katika uzee.
1. Kufananisha Watu au Mahali au matukio.
Kuna ile ukimuona mtu unafikiri ulimuona wapi hata kama hujawahi kumwona kabisa. Hali hiyo ukianza kuiona jua huo ndio mwanzo kabisa wa uzee. Mara nyingi hali hiyo huanza mtu akiwa na miaka 25.
Kadirii unavyokua ndio hali hiyo inazidi.
Hiyo ni kupoteza kumbukumbu.
Kuna ile upo sehemu ambayo ndio siku ya kwanza umefika lakini unajiona kama uliwahi kufika eneo hilo. Huo ndio uzee wenyewe 😃.
Au unafanya tukio lakini unaona uliwahi kulifanya lakini haukumbuki vizuri.
Huo ndio uzee wenyewe umegonga mlango.
Hali hizo husababishwa na wingi wa majukumu na akili kuwa na mambo mengi.
2. Kupoteza Interest na Ishu za Muziki na waigizaji.
Yaani ukiwaona wanamuziki unaona kama wanafanya mambo ya kitoto.
Kwa upande wangu hali hiyo ilinipata tangu nikiwa ninamiaka 22. Yaani nikiona mwanamuziki au muigizaji namchukulia kama mtoto. Sipo interest naye na sanaa yake.
Kikawaida wazee hawapendi Entertainment, kuintateiniwa, kuchezewa drama au vitu vyote vya akili nyepesi na uzee haviendi.
Ukiona unapunguza kukaa kwenye Luninga hata wakati ukiwa na muda labda ni weekend au umetoka kazini lakini huwezi kuangalià muziki au maigizo jua uzee unakunyemelea.
Ishu za Entertainment ni za vijana hasa vijana ambao bado hawana majukumu.
3. Majibu mafupi na hutaki Fujofujo au Ligi.
Kikawaida maisha yalivyo yapo kwaajili ya kukutuliza, kuku- Neutralise. Yaani kukufanya uwe mpole. Utaanza kwa mbwembwe kutokana ni damu changa na bado maisha hayakupiga katafunua Ambakati moja matata.
Lakini ukishaona unamajibu mafupi na hautaki ligi na upo tayari kushindwa kama haidhuru. Ujue uzee ndio huo sasa.
Itafikia hatua mpaka Nzi utamuacha akufanye vile atakavyo😊.
4. Kuwa Jeshi la mtu Mmoja.
Uzee unakuja na mikwaju mikali itakayokufanya ujikute upo pekeako.
Ujana utakuwa ni mtu wa marafiki wengi lakini ukishaona mara kwa mara unakuwa pekeako na unafanya mambo mwenyewe mwenyewe. Yàani jeshi la mtu mmoja basi elewa uzee ndio huo unakuta.
Kwa sisi ambao tumekaa na wazee tumeona maisha yao tunajua pale ambapo mtu uzee unamuanza.
Uzee huanza ukiwa na miaka 25. Siku utakayoanza kujiona upo mpweke, basi elewa kuwa upo kwenye hatua za awali za uzee. Hivyo utajaribu kuudhibiti kwa Kuoa na kuwa na familia. Lakini utakuwa haujaudhibiti zaidi ya kuuzuga tuu.
5. Kutaka Umoja ambao hauwezekaniki.
Uzee na utoto umetenganishwa na Ujana.
Hivyo uzee na utoto kwa kiasi kikubwa kuna sifa zinaingiliana.
Watoto hupenda umoja, kufanya vitu kwa pamoja. Lakini kwenye ujana vitu vya pamoja na umoja hakuna kwani kila mtú anajiona ananguvu na anauwezo wa kufanya mwenyewe.
Ukishaona kwenye ukoo wenu wewe unataka na kutamani familia yenu muwe na umoja, mpendane na mshirikiane. Basi elewa huo ndio uzee wenyewe
Acha Nipumzike kwanza.
Maana uzee umeniingia.
Ukiwa uzee unaanza na miaka 25, Ujana unaanza lini na kuisha lini?
Nadhani uzee unaanza na miaka 40!
Huwa nazipotezea sana hizo shikamoo, ila ndo zinakuja kwa kasi sanaAlafu ikifikia hatua unazipuuza ujue uzee umepamba moto.
Nilivyokua chuo nunua chapu PC na sub woofer,muziki mkubwa ghetto,siku hizi muziki sauti kubwa naona keroKitambo uko nilikua napenda sana gari iwe na sound ya kubwa hadi walioko nje wakereke,lakini sasa sipendi hata kusikiliza redio nikiwa kwenye gari,juzi kati nikiwa peke yangu nilisafiri umbali wa zaidi km 150 sikuwasha redio safari yote,uzee huu hapa aisee 🤔
6. Kuanza kuona majina ya watu uliosoma nao kwenye pdf za teuzi za ikulu.
7. Kundi la vijana kunyamaza kwa heshima na kukusalimia ukipita.
8. Kuanza kusoma makala za afya na kumzingatia Profesa Janabi.
9. Kutopenda safari ndefu. Mimi kwenye 20s nilikuwa natoka Arusha na Saibaba ya mwisho naingia Dar usiku sana halafu saa 12 niko kwenye buti la Zungu kwenda Mtwara. Nikifika Mtwara naweza kuunganisha hadi Songea. Sasa hivi safari zangu lazima ziwe na maandalizi.
10. Kutopenda vyakula vya migahawani.
Ni kukosa fuba tu aisee, yaani una fuba alafu ukae kizembe namna hiyo, hapana aisee.
Basi mi itachukua muda mrefu sana kuzeeka.
nina miaka 20 mkuu lakini barabarani 'shikamoo anko' zimekua nyingi sana6. Kusalimiwa Salaam ya shikamoo kila mara.
Points nne umepatia lakini namba 2 umekosea...mi ni mzee wa miaka 50 lakini sikosi live band makumbusho, oldskool disko pale Ada Estate, hata pale Rotana kwa mzee Kisauji huwa sikosi...na napenda kulamba waigizaji wa kike.....kwenye gari langu nimefunga mziki mnene na napiga mziki wa aina zote, na nyumbani piaWakuu mpo Salama!
Kuna Watu hawajui kuwa namna uzee unavyoingia. Sio ajabu wameshaingia uzee lakini hajui au hawana uhakika.
Sasa hizi ni moja ya dalili kuu zinazoashiria kuwa unaingia katika uzee.
1. Kufananisha Watu au Mahali au matukio.
Kuna ile ukimuona mtu unafikiri ulimuona wapi hata kama hujawahi kumwona kabisa. Hali hiyo ukianza kuiona jua huo ndio mwanzo kabisa wa uzee. Mara nyingi hali hiyo huanza mtu akiwa na miaka 25.
Kadirii unavyokua ndio hali hiyo inazidi.
Hiyo ni kupoteza kumbukumbu.
Kuna ile upo sehemu ambayo ndio siku ya kwanza umefika lakini unajiona kama uliwahi kufika eneo hilo. Huo ndio uzee wenyewe 😃.
Au unafanya tukio lakini unaona uliwahi kulifanya lakini haukumbuki vizuri.
Huo ndio uzee wenyewe umegonga mlango.
Hali hizo husababishwa na wingi wa majukumu na akili kuwa na mambo mengi.
2. Kupoteza Interest na Ishu za Muziki na waigizaji.
Yaani ukiwaona wanamuziki unaona kama wanafanya mambo ya kitoto.
Kwa upande wangu hali hiyo ilinipata tangu nikiwa ninamiaka 22. Yaani nikiona mwanamuziki au muigizaji namchukulia kama mtoto. Sipo interest naye na sanaa yake.
Kikawaida wazee hawapendi Entertainment, kuintateiniwa, kuchezewa drama au vitu vyote vya akili nyepesi na uzee haviendi.
Ukiona unapunguza kukaa kwenye Luninga hata wakati ukiwa na muda labda ni weekend au umetoka kazini lakini huwezi kuangalià muziki au maigizo jua uzee unakunyemelea.
Ishu za Entertainment ni za vijana hasa vijana ambao bado hawana majukumu.
3. Majibu mafupi na hutaki Fujofujo au Ligi.
Kikawaida maisha yalivyo yapo kwaajili ya kukutuliza, kuku- Neutralise. Yaani kukufanya uwe mpole. Utaanza kwa mbwembwe kutokana ni damu changa na bado maisha hayakupiga katafunua Ambakati moja matata.
Lakini ukishaona unamajibu mafupi na hautaki ligi na upo tayari kushindwa kama haidhuru. Ujue uzee ndio huo sasa.
Itafikia hatua mpaka Nzi utamuacha akufanye vile atakavyo😊.
4. Kuwa Jeshi la mtu Mmoja.
Uzee unakuja na mikwaju mikali itakayokufanya ujikute upo pekeako.
Ujana utakuwa ni mtu wa marafiki wengi lakini ukishaona mara kwa mara unakuwa pekeako na unafanya mambo mwenyewe mwenyewe. Yàani jeshi la mtu mmoja basi elewa uzee ndio huo unakuta.
Kwa sisi ambao tumekaa na wazee tumeona maisha yao tunajua pale ambapo mtu uzee unamuanza.
Uzee huanza ukiwa na miaka 25. Siku utakayoanza kujiona upo mpweke, basi elewa kuwa upo kwenye hatua za awali za uzee. Hivyo utajaribu kuudhibiti kwa Kuoa na kuwa na familia. Lakini utakuwa haujaudhibiti zaidi ya kuuzuga tuu.
5. Kutaka Umoja ambao hauwezekaniki.
Uzee na utoto umetenganishwa na Ujana.
Hivyo uzee na utoto kwa kiasi kikubwa kuna sifa zinaingiliana.
Watoto hupenda umoja, kufanya vitu kwa pamoja. Lakini kwenye ujana vitu vya pamoja na umoja hakuna kwani kila mtú anajiona ananguvu na anauwezo wa kufanya mwenyewe.
Ukishaona kwenye ukoo wenu wewe unataka na kutamani familia yenu muwe na umoja, mpendane na mshirikiane. Basi elewa huo ndio uzee wenyewe
Acha Nipumzike kwanza.
Maana uzee umeniingia.
Mishangazi inakupenda siku moja tuu halafu inaacha kupokea simu zako.Uzee unapoteza Vibes.
Lipa madeni mkuu,madeni hayapendi kelele.Kitambo uko nilikua napenda sana gari iwe na sound ya kubwa hadi walioko nje wakereke,lakini sasa sipendi hata kusikiliza redio nikiwa kwenye gari,juzi kati nikiwa peke yangu nilisafiri umbali wa zaidi km 150 sikuwasha redio safari yote,uzee huu hapa aisee
Mwana fa wakati anasoma na Mimi nilikua kwenye pilika za elimu,Ila nikaja kuona kazaliwa 1976,nikajipa moto,sema vyakula vya mgahawani sipendi,yaani nna masharti hatari,niliaguza chips dogo akaweka kachumbari wakati sikumwambia,aisee alienda kuikaanga Tena baada ya kutoa kachumbari,nikipita wananionesha vidole tu6. Kuanza kuona majina ya watu uliosoma nao kwenye pdf za teuzi za ikulu.
7. Kundi la vijana kunyamaza kwa heshima na kukusalimia ukipita.
8. Kuanza kusoma makala za afya na kumzingatia Profesa Janabi.
9. Kutopenda safari ndefu. Mimi kwenye 20s nilikuwa natoka Arusha na Saibaba ya mwisho naingia Dar usiku sana halafu saa 12 niko kwenye buti la Zungu kwenda Mtwara. Nikifika Mtwara naweza kuunganisha hadi Songea. Sasa hivi safari zangu lazima ziwe na maandalizi.
10. Kutopenda vyakula vya migahawani.
Mbona Mimi sipendi vyote hivyo Toka nikiwa mdogo? Baba alibidi aninunukie redii niende nayo Sekondari maana nilikuwa napenda mambo ya habari habari wakawa wananiita dingi 🤣🤣
Mziki jiliowahi Kucheza napo nilikuwa naenda kutafuta videmo ni vigodoro tuu japo Hadi Leo hii nimewahi ingia klabu si zaidi ya mara 10.
Kwa hiyo Mimi nilizeeka since Nina Miaka 9 Sasa 😆😆