Ukimya wa Rais Magufuli una maana gani?

Kupata cheo kwa njia haramu ni kitu kimoja, lakini kukitumia cheo kwa manufaa ya wananchi ni kitu kingine. Tena ni kitu unaweza ukajikuta unatumia cheo hicho kama mto (pillow) ya kulalia. CCM walitaka utawala ili kufaidika na rasilimali za tanzana tu.
 
Sisi wote hatujui anachofanya, nadhani ukimuuliza yeye mwenyewe atakupa jibu sahihi
 
Taifa la watu zaidi ya milioni 50
kuwa mnaendeshwa kwa kutegemea mtu mmoja alivyo amka
ni aibu saana...

Kama mtu ni waziri huwezi mgomea Rais wako usipokubaliana nae kitu
na ukajiuzulu..ukaishia tu kufuata kama Robots...hakuna faida kuwa waziri....

Ni dhahiri kuwa kuna mambo ambayo Magufuli alikuwa hakubaliani nayo wakati akiwa waziri kwenye serikali ya Kikwete.

Na hayo yameonekana baada ya yeye kuwa rais.

Je, uliwahi kumsikia hata siku moja akitofautiana na Kikwete?

Halafu, lini tena mnasafisha mji?
 
Mimi binafsi nimemuona Magufuli zaidi ya mara mbili akiwa Waziri
akimsifia Kikwete kwa safari za nje...tena akisema waziwazi 'mheshimiwa Rais endelea tu kusafiri'
'wanaolalamika ni wajinga wasioelewa umuhimu wa safari zako'

Now tungekuwa na media kama USA...zingeweza kabisa kuweka hizo clip leo na kujadili
kukomesha siasa za kinafiki kama hizi....but then again where is the media?
 
Napenda kuwauliza watanzania wenzangu alipo Rais wa nchi John Magufuli
Jamani ukimya wake una maana gani?mbona hatuonyweshi akitembelea watanzania sehemu mbalimbali?anafanya nini Ikulu?bado anaunda serikali? Sasa ataunda serikali mpaka lini?au anasubiri malaika kutoka mbinguni awateue kuwa watendaji wake?tumetangaziwa ameamua kutosafiri nje ya nchi kwa kubana matumizi,nakubaliana na hilo lakini hata kuwatembelea watanzania ndani ya nchi haiwezekani?nimeanza kutilia mashaka utendaji was serikali hii,nahisi mambo yanaweza kwenda hovyo kuliko tulivyotrajia,tunaomba Raid anza kusafiri ndani ya nchi hasa mikoani kuonana na watanzania,tumeshuhudia Lukuvi akiwakimbia wananchi huko morogoro waliotaka kuonana naye Rais tfadhali anzia morogoro kusikiliza kilio chao
Mimi ni mmoja wa waliomuelewa rais alipoamua kujaza maprofesa na madoctor katika baraza lake la mawaziri. Lengo ni kuwatumia kwa ukamilifu wasomi wetu, yeye ataibuka pale inapobidi, vinginevyo mawaziri wamepewa mamlaka ya kufanya kazi kwa uhuru mkubwa sana. Nadhani unajionea jinsi ambavyo majipu mengi yanavyotumbuliwa na mawaziri pamoja na manaibu wao. Mpe muda rais wa awamu ya tano utamsikia sana katika siku zijazo.
 
Mimi binafsi nimemuona Magufuli zaidi ya mara mbili akiwa Waziri
akimsifia Kikwete kwa safari za nje...tena akisema waziwazi 'mheshimiwa Rais endelea tu kusafiri'
'wanaolalamika ni wajinga wasioelewa umuhimu wa safari zako'

Now tungekuwa na media kama USA...zingeweza kabisa kuweka hizo clip leo na kujadili
kukomesha siasa za kinafiki kama hizi....but then again where is the media?

Media zenyewe zilizojaa watu sampuli ya akina Pasco na Manyerere Jackton?

Bure kabisa.
 
Napenda kuwauliza watanzania wenzangu alipo Rais wa nchi John Magufuli
Jamani ukimya wake una maana gani?mbona hatuonyweshi akitembelea watanzania sehemu mbalimbali?anafanya nini Ikulu?bado anaunda serikali? Sasa ataunda serikali mpaka lini?au anasubiri malaika kutoka mbinguni awateue kuwa watendaji wake?tumetangaziwa ameamua kutosafiri nje ya nchi kwa kubana matumizi,nakubaliana na hilo lakini hata kuwatembelea watanzania ndani ya nchi haiwezekani?nimeanza kutilia mashaka utendaji was serikali hii,nahisi mambo yanaweza kwenda hovyo kuliko tulivyotrajia,tunaomba Raid anza kusafiri ndani ya nchi hasa mikoani kuonana na watanzania,tumeshuhudia Lukuvi akiwakimbia wananchi huko morogoro waliotaka kuonana naye Rais tfadhali anzia morogoro kusikiliza kilio chao
Naelewa kila Rais ana njia yake ya kuongea na raia. Wengine press conference, wengine wazee wa Dar, wengine monthly televised addresses au nilivyodhani kupitia kwa katibu mkuu kiongozi. Lakini kimya. Kuna njaa, mafuriko, bomoa bomoa, sintofahamu za mashine za efd nk. Kinasemwa kitu kinapoyeyukia hatujui. Usafi ulifanyika, uchafu pale pale na kipindupindu hakijatuachia na hamna mtu aliyewajibika. Matunda yaliyokatwa yalikatazwa kuuzwa barabarani yanaendelea kama kawa. Tunahitaji mwongozo kutoka kwake au inawezekana tulihitaji Rais mwanamke. Mwanamke ni multi tasking, anaweza kuhandle vitu vingi kwa wakati mmoja na akafanikisha.
 
Mimi binafsi nimemuona Magufuli zaidi ya mara mbili akiwa Waziri
akimsifia Kikwete kwa safari za nje...tena akisema waziwazi 'mheshimiwa Rais endelea tu kusafiri'
'wanaolalamika ni wajinga wasioelewa umuhimu wa safari zako'

Now tungekuwa na media kama USA...zingeweza kabisa kuweka hizo clip leo na kujadili
kukomesha siasa za kinafiki kama hizi....but then again where is the media?
Ngabu na the boss nimependamnavyoudadavua uzi bila kuwagusa wasaga sumu.nimekaa kudaladala najichotea mipoint uzi mnaunenepesha kweli.
 
Uko sahihi kabisa, kuna wengine ukiona Comment zao hadi kinyaa.. kuna watu wameiaharibu sana Jamiiforums.
 
mkuu mtu hata kama ni kweli lazima atachangia ujinga tu.itafika mahali mtu utamwonesha hatari au kumwambia cha maana atapuuza kwa sababu anajiaminisha kwamba anajua zaidi yako au tu hataki kukuunga mkono.ila wakati utatueleza ni ngumu sana magufuli kufanikiwa.na hata huko kususa kwa wafanyabiashara kama ni kweli ni muendelezo wa vita vya ndani kabisa vya wahafidhina.tunaweza kuja kujuta kabisa kumchagua magufuli kwa maana ya ccm.mungu usiibariki tanzania maana hatuna uwezo wa kutumia akili zetu.
 
MWAACHENI APATE MAONO, Rais lazima awe na maono. Yupo kwenye maombi ikulu anafanya kazi na Mungu. Akija huku kuna watu watatembelea mikono. Timu aliyoichagua anaichunguza kuona wapi penye mapungufu, acha watoto aliowachagua wapige kazi! wakielemewa ataingia mwenyewe. Rais tulia huko huko kwanza maana una muda mwingi wa kuliongoza taifa, sio kila siku unatema cheche: watanzania watakuchoka mapema
 
My guess ameanza kujua uzito wa kazi
na hasara ya maamuzi ya pupa...

watu hupenda kusema Magufuli ni workaholic ...kama sifa nzuri saana
ukweli kiongozi akiwa workaholic anaweza mno kuvurunda
kuliko kiongozi mpenda starehe kidogo

Marekani waliwahi kuwa na Rais workaholic anaitwa Jimmy Cater...
alikuwa msabato..hapendi party...ikulu ilikuwa na party chache sana
hanywi pombe....anapiga kazi hadi usiku.....nchi ilivurugika mno
akaja kushindwa na mpenda party za Ikulu na mcheza sinema Ronald Reagan
Reagan party zilikuwa nyingi sana Ikulu lakini aliweza ku clean mess yote aliyosababisha Jimmy Carte
akaiacha Marekani pazuri mno....
Unatoa mfano hata wewe binafsi hauelewi au haujui historia ya marekani..hamna watu wanafanya kazi kama wajapan, wachina na wa marekani na ndio maana wako hapo..magufuli ni workaholic ndio na kama una busara kidogo ungesoma historia yake mpaka kufika hapo toka akiwa naibu waziri kama juhudi zake hazijalinufaisha taifa..hauna hoja n jifunze kusoma zaid before you make irrelevant and incoherent examples.
 
Napenda kuwauliza watanzania wenzangu alipo Rais wa nchi John Magufuli
Jamani ukimya wake una maana gani?mbona hatuonyweshi akitembelea watanzania sehemu mbalimbali?anafanya nini Ikulu?bado anaunda serikali? Sasa ataunda serikali mpaka lini?au anasubiri malaika kutoka mbinguni awateue kuwa watendaji wake?tumetangaziwa ameamua kutosafiri nje ya nchi kwa kubana matumizi,nakubaliana na hilo lakini hata kuwatembelea watanzania ndani ya nchi haiwezekani?nimeanza kutilia mashaka utendaji was serikali hii,nahisi mambo yanaweza kwenda hovyo kuliko tulivyotrajia,tunaomba Raid anza kusafiri ndani ya nchi hasa mikoani kuonana na watanzania,tumeshuhudia Lukuvi akiwakimbia wananchi huko morogoro waliotaka kuonana naye Rais tfadhali anzia morogoro kusikiliza kilio chao

Alianza na gia kubwa sana. Mbio za Marathon ni tofauti na mita sijui mia mbili............... zile ni KM 42 hivyo ukianza unaanza taratiiiiiiiiibu na unaongeza speed kadri unavyokaribia mwisho. Ukikurupuka tu..... km 10 pumzi hakuna... chali. unapitwa tu kama mzigo. Kuna mtu alisema Chama hakina pumzi... wajipime.... Dereva mpya injini ya mwaka sitini wapi na wapi.
 
Napenda kuwauliza watanzania wenzangu alipo Rais wa nchi John Magufuli
Jamani ukimya wake una maana gani?mbona hatuonyweshi akitembelea watanzania sehemu mbalimbali?anafanya nini Ikulu?bado anaunda serikali? Sasa ataunda serikali mpaka lini?au anasubiri malaika kutoka mbinguni awateue kuwa watendaji wake?tumetangaziwa ameamua kutosafiri nje ya nchi kwa kubana matumizi,nakubaliana na hilo lakini hata kuwatembelea watanzania ndani ya nchi haiwezekani?nimeanza kutilia mashaka utendaji was serikali hii,nahisi mambo yanaweza kwenda hovyo kuliko tulivyotrajia,tunaomba Raid anza kusafiri ndani ya nchi hasa mikoani kuonana na watanzania,tumeshuhudia Lukuvi akiwakimbia wananchi huko morogoro waliotaka kuonana naye Rais tfadhali anzia morogoro kusikiliza kilio chao
Mwacheni rais afanye kazi..kuna mambo mengi sana mnaotaka kutembelewa subirini tu,
 
Yupo Ikulu anaendelea kuwajibika ofisi, au ulitaka aende wapi?
Maswali mengine ujiulize hata wewe mwenyewe kisha ujijibu.
 
Back
Top Bottom