Chisamba
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 1,521
- 787
kwan hata si bnadamu mara ngapi tunanyanyasana na maisha yanaendelea ndugu....hayo mambo yalikuwepo tangu enzi na enziHuwezi kula mkuu. Ni ukatili tu unaoendelea. Ila ndo maisha mkuu
kwan hata si bnadamu mara ngapi tunanyanyasana na maisha yanaendelea ndugu....hayo mambo yalikuwepo tangu enzi na enziHuwezi kula mkuu. Ni ukatili tu unaoendelea. Ila ndo maisha mkuu
Ateseke asiteseke lazima kitimoto nimle,tena utafiti umefanyika umeonesha kua kadri anavoteseka ndo anakua mtamu zaidi.
NB:kwa sasa hakuna wanyama wenye mateso kuzidi wananchi wa Arusha baada ya kupigwa rungu la rambirambi.
kuna vitu viko pale huwezi vbadilisha...mbna umalaya unakatazwa na watu wanaendlea kufanya...all other factors has to remain constant...nimeiva sanh kwenye uchumi ndguKama una hurumia mnyama, mboga pia zinaumia pindi unapozichuma.
Ushauri usile chochote basi ili utende mema na usiwe katili.
Hayo sio maumivu, ubongo haufanyi kaz mda huo, ndio sehem pekee yenye uwezo wa kutambua, mfano, umekatwa mkono, kile kipande kilicho anguka kikawa kina tikisika, unadhan kina umia?Umeowai shuhudia akishapigwa shoka vile anavojipiga piga miguuu yale sio maumivu mkuu?
ww kwahyo mnyama wa hapa ni wana arusha ...mmhhh...hayaAteseke asiteseke lazima kitimoto nimle,tena utafiti umefanyika umeonesha kua kadri anavoteseka ndo anakua mtamu zaidi.
NB:kwa sasa hakuna wanyama wenye mateso kuzidi wananchi wa Arusha baada ya kupigwa rungu la rambirambi.
Sijawahi kula kitimoto kigumu asee japokua hua wanapigwa shoka la kichwa.Siyo kweli, Utafiti unaonyesha kwamba Mnyama ambaye anajua kwamba atachinjwa/kuuliwa nyama yake huwa ngumu sana, wale Wawindaji wanalijua hili, unaweza ukatofautisha Nyama ya Mnyama aliyejua kabla ya kuuliwa na yule ambaye hakujua, yule ambaye hakujua huwa na Nyama laini lkn yule ambaye alijua huwa na nyama ngumu ambayo hutokana na mateso anayopitia kabla ya mauti kumkuta!
Nimekuelewa mkuu na je akiwa analia vile anavyochinjwa mfano mbuzi au ng'ombe zile kelele anazopiga ubongo unakua haujatambua chochote?Hayo sio maumivu, ubongo haufanyi kaz mda huo, ndio sehem pekee yenye uwezo wa kutambua, mfano, umekatwa mkono, kile kipande kilicho anguka kikawa kina tikisika, unadhan kina umia?
The brain does not control all body movements. Some movements are to a great extent controlled by neural networks in the spinal cord.
Waliumbwa waliwe, ataliwa tuVipi kama ukijua kwamba Mnyama kabla ya kupigwa shoka huwa anajua kwamba atapigwa shoka na kwamba anapitia mateso ya ajabu sana, kama vile wewe labda ujue kwamba baada ya dakika mbili utapigwa Panga la kichwa ufe, vipi bado utaendelea kula Nyama?
Sijawahi kula kitimoto kigumu asee japokua hua wanapigwa shoka la kichwa.
Ila mbona zinaota tena. Mnyama ndo kwishneyKama una hurumia mnyama, mboga pia zinaumia pindi unapozichuma.
Ushauri usile chochote basi ili utende mema na usiwe katili.
Akipigwa kwa ustadi pigo moja kubwa sana anazimika bila kutingisha mguu wala kutoa mlio.Umeowai shuhudia akishapigwa shoka vile anavojipiga piga miguuu yale sio maumivu mkuu?
Wanyama hawana utashi huo binadamu ndio anayetambua kwamba hapa nimeshikiwa kisu nataka kuchinjwa.Vipi kama ukijua kwamba Mnyama kabla ya kupigwa shoka huwa anajua kwamba atapigwa shoka na kwamba anapitia mateso ya ajabu sana, kama vile wewe labda ujue kwamba baada ya dakika mbili utapigwa Panga la kichwa ufe, vipi bado utaendelea kula Nyama?
Hahahahaa kweli aseeKwaiyo kitendo cha nguruwe kupigwa shoka kichwani hadi kufa wewe hujui nini kinaendelea ndani yake na bado analiwa kwa ndizi na ugali na pilipili ikibidi
Wanyama hawana utashi huo binadamu ndio anayetambua kwamba hapa nimeshikiwa kisu nataka kuchinjwa.
Japo sina uhakika ngoja wataalamu wa mambo ya wanyama wapite hapa
HahahaHayo sio maumivu, ubongo haufanyi kaz mda huo, ndio sehem pekee yenye uwezo wa kutambua, mfano, umekatwa mkono, kile kipande kilicho anguka kikawa kina tikisika, unadhan kina umia?
The brain does not control all body movements. Some movements are to a great extent controlled by neural networks in the spinal cord.
Anajua, Tumewah chinja mbuz mbil na kondoo mmoja, tulianza na mbuz, tukaleta kondoo... kondoo aliona nyama ya mbuz lakn hakungua kitu, tukamalizia na mbuz, mbuz alipoona nyama ya mwenzie na kondoo aligundua acha awe mkal, kaanza piga watu, alivyo dhibitiwa alijamba na kuharisha hakuna mfano, tulimlaNimekuelewa mkuu na je akiwa analia vile anavyochinjwa mfano mbuzi au ng'ombe zile kelele anazopiga ubongo unakua haujatambua chochote?
Maisha ndivyo yalivyo. Utasemaje namna wanyama wawindaji kama simba na chui wanavyojipatia chakula chao? Ili maisha yaendelee lazima baadhi ya viumbe wawe msosi kwa wengine. Ndvyo ilivyo porini na ndivyo ilivyo kwa maisha yetu kama binadamuVipi kama ukijua kwamba Mnyama kabla ya kupigwa shoka huwa anajua kwamba atapigwa shoka na kwamba anapitia mateso ya ajabu sana, kama vile wewe labda ujue kwamba baada ya dakika mbili utapigwa Panga la kichwa ufe, vipi bado utaendelea kula Nyama?