Ukiachana na Jenister muhagama kuna huyu George Mkuchika

Aisee tangu niko shule ya msingi Juhudi iliyopo ukonga magereza nasoma mpaka nimemaliza elimu uchwara za Bongo na kuingia mtaani hadi sasa nikiwa na miaka 27 hawa watu majina yao ni mheshimiwa waziri bla bla bla.....yani kwa lugha nyepesi wao ni mawaziri tu.

Kuna watu hapa Tanzania keki ya taifa (asali ) wanailamba sana wanaishi kama wapo peponi.

Anyway....

Naomba kujua na kuelimishwa wana nini vya maana na upekee(unique) upi haswa katika watanzania milioni 60 au wana nini cha maana kuzidi wanachama wa CCM milioni 15 na ushee kama wanavyojinadi.

Naomba kujuzwa.

NB:wale wakubwa wa JF kiumri mababu,mabibi,wababa na wamama shikamoooni.
Makinda je?
Nimeanza kumsikia toka niko tumboni kwa mama yangu hadi leo nakaribia 50 yumo tu.
 
Aisee tangu niko shule ya msingi Juhudi iliyopo ukonga magereza nasoma mpaka nimemaliza elimu uchwara za Bongo na kuingia mtaani hadi sasa nikiwa na miaka 27 hawa watu majina yao ni mheshimiwa waziri bla bla bla.....yani kwa lugha nyepesi wao ni mawaziri tu.

Kuna watu hapa Tanzania keki ya taifa (asali ) wanailamba sana wanaishi kama wapo peponi.

Anyway....

Naomba kujua na kuelimishwa wana nini vya maana na upekee(unique) upi haswa katika watanzania milioni 60 au wana nini cha maana kuzidi wanachama wa CCM milioni 15 na ushee kama wanavyojinadi.

Naomba kujuzwa.

NB:wale wakubwa wa JF kiumri mababu,mabibi,wababa na wamama shikamoooni.
waganga wa nchi, yani hao mpaka wafie ofisini kana kwamba watu wengine wameisha. SHAME on us
 
H
Huo ndio uspesho wake kupigana vita vya kagera mbona CDF wake Msuguri yupo mara huko analea wajukuu
Huyu comrade sijui huwa anaongea na nani kwa maana wenzake na marafiki zake karibu wote washatangulia mbele za haki, labda waliobaki ni mzee mwenzake mlamba asali, BT, na bwana tembo na hawa wote wamestaafu japo wengine ni wastaafu wasiotaka kustaafu!
 
Back
Top Bottom